Who is Rating Hotels?

Who is Rating Hotels?

Sam Wellson

Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
65
Reaction score
218
Wakuu mimi ni mdau ninapenda kucheck rating za Mitandaoni kama Google, Booking, Tripadvisor kabla sija Book Hotel or Lodge sasa basi ningependa kujua ni mamlaka gani hufanya rating kwa hizi hotel zetu kwamba this is 3 stars and this is 4 stars hotel na je over the time huwa wana update izo taarifa mfano hotel fulani ili layoff watu wengi na kupunguza operations kipindi cha Convid je mamlaka hio ili downgrade hio hotel?
The hotel was 5 stars.

Rating za Booking au Trip Advisor ziko based na wadau ambao wamelala hio place hurate na kutoa maoni yao yani experience at a specific hotel, Japo wabongo hatu care na kurate izi hottel even if we received a very poor service.
 
Una mix vitu viwili.

Adhi ya hotel (mfano ukisikia Ramada ni Hotel ya Nyota 5)

Na rate za customers. Izo ndio unazoziona Trip Advisor, Google Map etc
 
Una mix vitu viwili.

Adhi ya hotel (mfano ukisikia Ramada ni Hotel ya Nyota 5)

Na rate za customers. Izo ndio unazoziona Trip Advisor, Google Map etc
Rudia tena kunisoma mkuu, Nimeleza Clear kuwa rating za Customers zita appear kwenye mitandao, Sasa nataka kujua authority inayoamua Kuwa Let say Glan melia is 5 stars
 
Kaz hio inahusika na idara ya utalii.wizara.
Ratings huwa na tume inayopita kwa kanda na kutoa grade kwa kutizama factors nying.ili tuipe hotel hadhi ya nyota vitu ving vinaangaliwa
Mfano size ya madirisha yako,huwez kusema wewe una five star bila kuwa na chumba cha hadhi ya presidential suits,size ya dirisha la chumba cha five star usifikir likikutwa ni 5x5 hilo sio dirisha hilo ni tundu la ndege.
Jikon kwako miundombinu ipoje? Sio mnasongea kuni .
 
Rudia tena kunisoma mkuu, Nimeleza Clear kuwa rating za Customers zita appear kwenye mitandao, Sasa nataka kujua authority inayoamua Kuwa Let say Glan melia is 5 stars
Izo ni factor za level of comfort ,hospitality and accommodation, hapo ndo wanachagua ipi five mambo mengine kama recreation vile presidental room,

Ninavyojua izo rating za costumers zinasaidia kupima level of security, customer services and care ,kwa ujumla ila kujua hotel ipi nzuri ndo maana hao travel agencies and tour operators wanakuwa wanaweka izo hotel kwa kuangalia vigezo ivyo ili wasije kuwalet down wateja wao ,huwezi kufanya booking wateja hotel baadae wapate Huda mbovu itakuangusha katika biashara yako.

Unapoandaa itenaries(vituo vya kufikia watalii katika wakita matembezi) lazima uangalia huduma za ivyo vituo na usalama typically hotels au lodges so izo rate zinasaidia watu wa utalii sana sana na travel agencies ila sio kama kigezo vya kuwa hotel iwe na hadhi ya nyota 5
 
Wakuu mimi ni mdau ninapenda kucheck rating za Mitandaoni kama Google, Booking, Tripadvisor kabla sija Book Hotel or Lodge sasa basi ningependa kujua ni mamlaka gani hufanya rating kwa hizi hotel zetu kwamba this is 3 stars and this is 4 stars hotel na je over the time huwa wana update izo taarifa mfano hotel fulani ili layoff watu wengi na kupunguza operations kipindi cha Convid je mamlaka hio ili downgrade hio hotel?
The hotel was 5 stars.

Rating za Booking au Trip Advisor ziko based na wadau ambao wamelala hio place hurate na kutoa maoni yao yani experience at a specific hotel, Japo wabongo hatu care na kurate izi hottel even if we received a very poor service.
Wewe hata ukijua hii hotel ni nyota ngapi itakusaidia nini?unataka nyota au huduma bora?
 
Rudia tena kunisoma mkuu, Nimeleza Clear kuwa rating za Customers zita appear kwenye mitandao, Sasa nataka kujua authority inayoamua Kuwa Let say Glan melia is 5 stars
Swali lako zuri sana! Jibu lake kwa kifupi sana, lina sehemu mbili kama ifuatavyo:

A. Vigezo vya Hotel Rating
B. Rating agencies

A. Vigezo vya Hotel Rating ni vingi na vinahusu mambo mengi kuhusu hoteli yenyewe na nchi ilipo hiyo hoteli.
Baadhi ya vigezo vya hotel ni kama ifuatavyo:

A1. USAFI na UBORA wa huduma za:
  • Chakula, maji, vinywaji nk.
  • Vyumba vya kulala sehemu za starehe na michezo/mazoezi nk.
  • Mapokezi, burudani, usalama,
  • Huduma za kabambe za dharura za afya,
  • Miundombinu ya mawasiliano, kumbi za mikutano, sherehe, nk.

A2. USALAMA wa mteja na mali zake
A3. MAZINGIRA ya ndani na nje ya hotel

A4. Vigezo vya NCHI
Baadhi ya vigezo vya NCHI kuhusu UBORA wa hotels zake ni kama ifuatavyo:

1, USALAMA wa NCHI yenyewe kisiasa.
2, USALAMA na UBORA wa miundombinu ya:
  • USAFIRI wa Ndani na Nje ya NCHI
  • USAFIRI wa Ndani (commuter by car, rail, bus, taxi, etc.)
  • Huduma za Afya na MATIBABU
  • Huduma za polisi (police emergency response)
  • Huduma za uokoaji na zimamoto (ambulance, rescue and fire emergency response)
  • Huduma za Maji Safi ya kunywa. Na kadhalika.

Kwahiyo mpaka hapo unaweza kuona kama ni kweli kuna hoteli inayaweza kukidhi vigezo hivyo kwa level ya nyota hata mbili tu hapa bongoland!

B. Hotel Rating Agencies. Samahani hapa sitotaja hadharani kwasababu sio mahali pake.
 
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Tanzania nzima hatuna hoteli yenye hadhi ya nyota tano? Vipi kuhusu Hyatt Regency- The Kilimanjaro iliyopo Dar, Gran Melia ya Arusha na Melia Zanzibar?
Ni hiari yako/yenu kukubali au kukataa, ukweli ndiyo huo. Kwenye masuala ya kimataifa huwezi kulazimisha vigezo unavyotaka wewe. Hoteli si kama chuo kikuu au kiwanda cha matofali ambavyo mnaweza kulazimisha vigezo vyenu.
Kumbuka kwamba kwa mfano katika suala la chakula hata wewe ukiwa na hela yako ukienda Mexico, Moscow au Cuba uko huru kuchagua ule nini na wapi, vivyo hivyo utachagua mwenyewe matibabu, pa kulala nk. na ukirudi kwenu uko huru kusifia au kuponda ulichokula huko na kadhalika.
Vinginevyo labda mjiunge nchi za kiafrika muanzishe rating zenu. Kwa mfano badala ya nyota mtumie alama zenu kama x, mwenge, jembe, nk. Tatizo kama mtashusha vigezo itakuwa vugumu kutambulika kimataifa hizo alama zenu.
 
Sehemu kubwa ya STANDARDS zinatokea USA, wamejiona kama wao ndio kila kitu, wakiamua wameamua hautaki wanakupiga pini
 
Ni hiari yako/yenu kukubali au kukataa, ukweli ndiyo huo. Kwenye masuala ya kimataifa huwezi kulazimisha vigezo unavyotaka wewe. Hoteli si kama chuo kikuu au kiwanda cha matofali ambavyo mnaweza kulazimisha vigezo vyenu.
Kumbuka kwamba kwa mfano katika suala la chakula hata wewe ukiwa na hela yako ukienda Mexico, Moscow au Cuba uko huru kuchagua ule nini na wapi, vivyo hivyo utachagua mwenyewe matibabu, pa kulala nk. na ukirudi kwenu uko huru kusifia au kuponda ulichokula huko na kadhalika.
Vinginevyo labda mjiunge nchi za kiafrika muanzishe rating zenu. Kwa mfano badala ya nyota mtumie alama zenu kama x, mwenge, jembe, nk. Tatizo kama mtashusha vigezo itakuwa vugumu kutambulika kimataifa hizo alama zenu.
Hii website inamilikiwa na Wazungu (Wamarekani), Je, wanadanganya kuhusu hizi 5 star hotels walizoziorodhesha zilizopo Tanzania zikiwemo nilizozitaja kwenye bandiko langu la awali?
 
Back
Top Bottom