Who is paula ???????

Atakuwa alikosea alikuwa anamaanisha Paulo mfanyakazi mwenzake si unajua ukiumia unachanganyikiwa..!
 
Hahahahaaaa, kabla hajajua unaemdeleaje anataka kumjua Paula? Noma sana...
 
wanawake ni watu wa ajabu sana. yaani paula ndiyo hoja zaidi kuliko hoja ya kuvunjika mguu kwa mumewe/mpenzi wake? wivu wa kike ni mzigo!!!
 
Yeah mweziwe anataka kukatwa mguu yeye anaendekeza wivu....
Duh salaleeee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…