Who is online right now

denestumain

Senior Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
172
Reaction score
152
Jamani naomba kufahamiana na watu wapya nitapenda kuwasiliana nanyi, karibuni
 
Karibuni barazani ama sebuleni!?
Ha ha aah! Habari yako ndugu?
 
Jamani naomba kufahamiana na watu wapya nitapenda kuwasiliana nanyi, karibuni

Humu tunafaahamiana kwa ID tu,
wachache tuna-mingle inapobidi, na hata ikitokea utanifahamu kwa jina la Twilumba until proven hujaja kwa kuagizwa na tuwaambiao ukweli wakakasirika!

Kwa makavu tunayopeana humu kufahamiana na mtu physically ni kujitafutia kupunguzwa meno na kucha bila hiari!
Kwa heri
 

Hahahahahahahah haya bana anyway just new friends that's all hayo mengine mm huwa napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…