Who is more powerful Putin or Obama

Who is more powerful Putin or Obama

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Forbes magazine walisema Putinis more powerful na Gallup poll 57 percent wanasema Obama yupo less respected around the world wewe inasemaje ?
 
sound contrivercial. obama ni laini wakati putin ni siriaz.
obama yupo kimbinu wakati putin anapenda confrontation. nadhani mwishowe obama atakuwa mshindi. IQ ya obama ni powerful kuliko huyu caucacian putin
 
putin ni mashine bush mwenyewe anajua,
 
Obama killed ghadafi, obama killed bin laden, obama now want to kill african values
 
Putin is more powerful, alimweka medvedev kwenye urais kwa sharti la yeye kuwa waziri mkuu, baadaye akauchukua urais na medvedev ni waziri mkuu. Kwa mbinu zake usa wameshindwa kumuondoa assad.
Huyo homo junkie amewekwa tu na illuminatti na handler wake biden, hana maamuzi wala utashi wowote anakubali kila anachoambiwa...... abortion anakubali, upuuzi wa lgbt anakubali. Nafikiri siku binti zake wakioana na yeye ataolewa.
 
Putin huyu msoviet ambae hana tofauti na wakambodia ndio awe powerful than Obama?

Mpaka sasa sijaelewa vigezo vilivyotumika kumpa power msoviet putin?
 
Back
Top Bottom