Who is mbwiga wa mbwiguke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is mbwiga wa mbwiguke?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by white wizard, Nov 19, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,349
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  jamami huyu m2u,anayekuwa anazungumza kwenye kipindi cha sports- xtra cha clouds fm,ni yanki au mzee?,kwani ni m2u anayechekesha sana kwa maneno yake(umatemate),utakuta anakupa story ya mechi ya 1968! Kama alikuwepo vile uwanjani! Ki ukweli namkubali sana kwa makeke yake,kila ki2u kinachohusu mpira wa bongo! Je kuna anayemfahamu kiundani? Nawakilisha
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Zamani alikuwa anaokota vyuma chakavu na chupa za plastic mitaani. Baada ya hapo sikumwonaga tena...
   
 3. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  utawakubali wengi tu nenda mechi za mchangani viwanjani uwaone.wote waganga njaa tu.
   
 4. rweyy

  rweyy Senior Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwa mpira wa hapa mbogo kweli jamaa anafulahisha sana ila soka la nje jamaa ovyo hajui kitu
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 2,456
  Trophy Points: 280
  Anafurahisha au anachekesha?. Mimi namuona kama anachekesha tu.
   
 6. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,107
  Likes Received: 745
  Trophy Points: 280
  udambu udambu, jamaa anatoa story kama zilivyotokea na yuko real kama tunavyopiga story mtaani na sio kuigiza. Stori zingine usingepata kuzisikia na ubunifu kama huu ungeenda kwa watu wamikoani na wao wangetupa uhondo wa uko na sio habari za kutafsiri kila kukicha.
  Kuna timu kama tukuyu stars na meko kizazi kipya kinahaki ya kupata habari zao, meko walikuwa na pumzi si mchezo wakimaliza gemu wanatroti
   
 7. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  unawakilisha unawasilisha?
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,415
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ................... mtu muongo muongo, mjanja mjanja hivi ......... mtoto wa mjini, mtoto wa kariakoo ...........ni mpenzi na mnazi wa mpira wa ndani (yanga na simba) mtu mbunifu, kajaliwa nahau na mifano ya kuwasilisha akisemachao. Shafii alikua akijaribu kutupa vionjo vya siku za nyuma kupitia "kumbukumbu" na ilikua inasisimua sana .....ila mbwiga anafurahisha ZAIDI !! NI UBUNIFU WA HALI YA JUU KUMTUMIA. " nakumbuka sana kisa cha "MBWA KANUNULIWA UKUBWANI" BIG UP MZARAMO !
   
 9. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duniani kuna mambo.
   
 10. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli anakipaji sana, namkubali ana maneno mengi sana ya mtaani
   
 11. MTI PESA

  MTI PESA Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbwiga wa mbwiguke..mkole wa nyani kibwaya mkia..mtu muongo muongo...midfield kisheti nikitak nautupa..nikitaka naomba mungu..we ulete tu kwangu..mi nachezea shimoni..mzee wa umate umate cross biliji...ha ha aha ahaaaaa jamaa ni zaidi ya comedian tena shabiki mkubwa wa KUALA LUMPAR aka YANGA!!!!!
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hahaha kweli jamaa wanapumzi .. yaani baada ya game walikuwa wana troti
   
 13. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu alimuuliza yeye anashabikia timu gani hapa bongo? jamaa akasema kuwa yeye yukpo kama vidonge vya Tetracycline! yaani Yanga yupo na Simba yupo! kwa jinsi alivyotoa jibu papo hapo nikajua huyo jamaa ni noma kwa kuchonga
   
 14. k

  kinubi Senior Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  jamaa anafanya usafi kwenye uwanja wa azam chamazi...mtu wa watu coz yupo chaming sana!
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Midfilder ya juu mido inayopiga
  nje ya 18. Anatoa pasi huku
  anaangalia huku kama muuza
  madafu vile anachukua a huku
  antengeneza dafu. Mido ya
  kuongea asante, mwongo,
  nzuri,
   
 16. libent

  libent JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jamaa ni noma maneno yanachekesha hasa hili la kudungwa misumali
   
Loading...