Who is Mbwana Samata?
Kaifanyia nini nchi yetu? ameachieve nini humu nchini Tanzania tofauti na local strikers wetu? maana anapewa sana publicity wakati hamna alichofanya au kisa yupo TP Mazembe,muda ufike tuambiane ukweli ili kutibu soka letu

Yaaaaah! ni kweli huyu dogo T.Ulimwengu akiwa national team anajituma kwa %100 tofauti na samatta. Sijui hawa wachezaji wa kiafrika wana matatizo gani manake wamekosa kabisa uzalendo kwa nchi zao, game ile ya jana kati ya starz dhidi ya benin wale wachezaji wa benin wanaocheza kwenye ligi kubwa za ulaya walikuwa hawajitumi kabisa mpaka nikajiuliza kweli hawa ndo akina sessegnon wanaokinukisha pale westbrom albiol au hawa ni photocopy zao??????Nampenda sana dogo Thom Ulimwengu,kwa7bu akiwa National Team,he gives his 100 percent.
..ushavuta bangi zako za morogoro eeeh....we jamaa bhana..kule FB umeacha ushabiki wako wakiNAZI kwa Simba?...vipi jamaa ako pale TFF ...bado anakomaa na makato ya 5%?Who is Mbwana Samata?
Kaifanyia nini nchi yetu? ameachieve nini humu nchini Tanzania tofauti na local strikers wetu? maana anapewa sana publicity wakati hamna alichofanya au kisa yupo TP Mazembe,muda ufike tuambiane ukweli ili kutibu soka letu
Mkuu acha majungu! Kati ya wachezaji tulio nae kwasasa, jamaa pekee ndie anaetia moyo kwenye tim yetu.Who is Mbwana Samata?