hana adabu. hana staha. anatumika vibaya. anajimaliza kisiasa. anaongeza idadi ya vijana wanaomchukia Tanzania.
who is this boy?
tunaomba CV jamani. maana kijana anaona raha kukaa mbele ya microphone kuzusha mambo yasiyo na ushahidi dhidi ya wazee.
Martina si ni jina la KIKE!
Lol halafu kaweka Nywele zake "black" na usoni kajichubua kwa "Carolite" Sharobaro kwelikweli...
... Pamoja na kina MARTINE au MARTINA na wote design hiyo, wale nilowasema kwao USWAHILI umekithiri akilini mwao (si kila mtu ana zake) waacheni waendelee kuota ndoto za mchana. Watanzania welishaamka. Kitaeleweka tu.
Martina si ni jina la KIKE!