Who is Joseph Kabila and did he assassinate his ‘father’?

Who is Joseph Kabila and did he assassinate his ‘father’?

Kazaliwa 1972,katumwa kumshawishi Kabila d'salam 1987,
1987
_1972
15,changanya na zako
 


Who killed Laurent Kabila, the president of the DR Congo, and why?
 
Last edited by a moderator:
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na utata juu ya baba mzazi wa rais wa kongo bwana Joseph kabila kabange na si baba tu pia upo utata kuhusu mama yake joseph pia ambapo kina mama wawili mama Sifa Mahanya mama wa kimanyema ambae Joseph amekuwa akimtabulisha kama ndio mama yake na mama Marcelina mama wa kitutsi ambae inaelezwa amekua akifichwa fichwa sana na si aghalabu kumuona hadharani mwanamama huyu ambae inaelezwa ndio mama mzazi wa wa rais Joseph Kabila,mama ambae ni binamu wa mshirika mkubwa wa Rais Kagame wakati wa harakati zake za kuiangusha serikali ya Rwanda ya marehemu Habyarimana,bwana Fred Rwigema,ambae ni mwanzilishi wa kundi la RPF lililoendesha mapambano ya kuiangusha serikali ya Habyarima kutokea uganda.

Rwigema alikuwa miongoni mwa vijana Wanyarwanda waliokuwa wamekubaliana na Museven kuwa wamsaidie katika kuchukua madaraka Uganda na kwamba baada ya hapo naye awasaidie kuchukua madaraka Rwanda.Pamoja nae vijana wengine wakati huo wakiwa ni pamoja mkuu wa majeshi wa sasa wa Rwanda bwana James Kabarebe ambae ni kaka yake na Mama Marcelina anaelezwa kuwa ndio mama mzazi wa Joseph kabila.

Inaelezwa baba mzazi wa Joseph ni mtutsi kutoka Rwanda aliyekuwa akiitwa ADRIEN Christofer Kanambe na kwamba Mzee Laurent Desire Kabila alimkuta Joseph pamoja na pacha wake Jeanette kwa mama Marcelina ambae alimchukua baada na kumfanya mkewe baada Adrien christopher kanambe kuuawawa vitani akipigana kumsaidia Mzee kabila na wacongo wenzake kuung'oa utawala wa Mobutu jaribio ambalo lilishindwa.Joseph pia anae mdogo wake wa kiume aitwae Zoe Kabila.

Sasa hapa pana picha mbili,kwa mtazamo wako ni yupi anaweza kuwa baba mzazi wa Rais Joseph Kabila?



kanambe.jpg


ADRIEN Christofer Kanambe



Mzee Laurent Desire kabila


Rais Joseph Kabila


Jeanette Kabila(dada wa Joseph)
zoe-kabila1.jpg

Zoe Kabila
 
ona hii ilishawekwa wazi kitambo. Kanambe ndo biological father wa kabila, huyu laurent alimrithi joseph tu
 
Tuache kukisia mambo,hii ndio familia ya kabila,joseph yupo hapo kulia kabisa kwa waliosimama,na huyo mama ndio sifa mahanya mke wa kabila na mama wa joseph,huyo MARCELINA yuko wapi?

Picha ya chini ni mzee Kabila na mkewe mama Sifa Mahanya wakiwa bado vijana1

[FONT=Verdana, Helvetica, Geneva, Arial]

enfants_kabila_mama_sifa.jpg
[/FONT]
[FONT=Verdana, Helvetica, Geneva, Arial]
kabila_ldk_mama_sifax300.jpg
[/FONT][FONT=Verdana, Helvetica, Geneva, Arial]Mama Sifa Mahanya et Laurent-Désiré Kabila [/FONT][FONT=Verdana, Helvetica, Geneva, Arial]Dans le maquis de Fiz[/FONT]
 
Nimesoma leo mahali fulani katika makabrasha nimekutana na taarifa kuwa Mwalimu Nyerere ndiye aliyemuunganisha Laurent Kabila na akina Kagame na Museven mwaka 1987. Kwa maana hiyo huu mchezo umepangwa siku nyingi. Na Kagame akiwa kamanda wa RPF ndiye aliyeitungua ndege ya marais Aprili 1994. Na Kagame ndo aliyempandikiza Joseph Kabila DRC
 
mimi niliambiwa Joseph kabila amesomea tanzania na anaelewa kiswahili chote. Yawezekana alitumika na CIA katika hilo njama na cha Kustaajabisha ni outsiders wanamtumia to decimate mali asili ya DRC.
 
Joseph kabila ni mtanzania halisi kasoma iyunga mbeya na nyumbani kwao kunduchi mtongani nenda mtaa wa congo au lumumba kaulize joseph kabila watakupa historia yake A to Z.
acha uongo bwana, amesoma sangu kule mbeya...siyo iyunga...hata hivyo alisoma wakati babake alipokuwa exile hapa tz....na alisoma kidogo tu hakumaliza akaacha na kuendelea na hayo magumashi yao....wabongo kwa kuongea kama wanajua balaa
 
Tuache kukisia mambo,hii ndio familia ya kabila,joseph yupo hapo kulia kabisa kwa waliosimama,na huyo mama ndio sifa mahanya mke wa kabila na mama wa joseph,huyo MARCELINA yuko wapi?

Picha ya chini ni mzee Kabila na mkewe mama Sifa Mahanya wakiwa bado vijana1



enfants_kabila_mama_sifa.jpg

kabila_ldk_mama_sifax300.jpg
Mama Sifa Mahanya et Laurent-Désiré Kabila Dans le maquis de Fiz
dah, huyu mzee alikuwa anazaa mchana na usiku....mbona vitoto vingine havijaachishwa ziwa vingine vimeshazaliwa...hahaha, dah..aisee namwona joseph kabila kweli, lakini hapo alipiga picha na watoto wake wote au kuna watoto wengine wa majirani aliwachukua kupiga nao picha, embu angalia ivyo vidogovidogo vilivyosambamba..
 
yale yale ya Wanyarwanda kudai Salma Kikwete ni Mhutu. rubbish
 
Wee kila kitu lazima uingize WanyaRwanda -huoni uko off topic shame on you!
 
You live by the sword; you die by the sword; Joseph Kabila ajipange!
 
Back
Top Bottom