Who is General Nkunda?

habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa

Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo amejigamba kwamba mdahalo kati yake na mashaka lazima ufanyike kwa sababu tayari wanahabari wake wameanza kumfatili mashaka ili kumshawishi kushiriki.

Mzee mzima dakta, pia ameonyesha shauku ya kugombea ubunge katika bunge lijalo

Kama hizi habari ni za kweli, basi jamaa takuwa amejidhalilisha sana.
Edit/Delete Message
 
JAMAA GEN. NKUNDA KAKAMATWA

KIGALI, Rwanda — Overnight, the battle in Congo has suddenly shifted. Gen. Laurent Nkunda, the Congolese rebel leader whose brutal tactics and Congo-size ambitions have threatened to bring about another catastrophic war in central Africa, was arrested late Thursday, removing an explosive factor from the regional equation.

According to United Nations officials and Rwandan authorities, General Nkunda was captured by Rwandan troops as he tried to escape a Congolese-Rwandan offensive that has taken aim at several rebel groups terrorizing eastern Congo.

General Nkunda had seemed untouchable, commanding a hardened rebel force that routinely humiliated Congolese troops and then calmly gliding through muddy villages in impossibly white robes. But he may never have anticipated that his old ally, the Rwandan Army, would take him away.

The surprise arrest could be a major turning point for Congo, which has been mired in rebellion and bloodshed for much of the past decade. It instantly strengthens the hand of the Congolese government, militarily and politically, right when the government seemed about to implode. But it could also empower other, even more brutal rebel figures like Jean Bosco Ntaganda, General Nkunda’s former chief of staff, who is wanted by the International Criminal Court in The Hague for war crimes.

Still, analysts and politicians say they hope that General Nkunda’s capture at the hands of Rwanda means that the proxy war between Rwanda and Congo is finally drawing to a close.

A United Nations report in December accused high-ranking Rwandan officials of sending money and troops to General Nkunda, a fellow Tutsi who claimed to be protecting Congolese Tutsi from marauding Hutu militias. This cross-border enmity has been widely blamed for much of the turmoil, destruction, killing and raping that has vexed Congo for years.

John Prendergast, a founder of the Washington-based Enough Project, which campaigns against genocide, called it a “massive turn of events.”

“Finally the two countries are cooperating,” he said.

Kikaya bin Karubi, a member of Congo’s Parliament, said General Nkunda’s arrest “could be the beginning of the end of all the misery.”

“Look what happened at Kiwanja,” he said, referring to a small Congolese town where United Nations officials said General Nkunda’s forces went door to door, summarily executing dozens of civilians in November.

Now, if Congo gets its way, General Nkunda will have to face the consequences. The government is urging Rwanda to extradite General Nkunda so he can stand trial in Kinshasa, Congo’s capital, where he could face a war crimes tribunal and treason charges, punishable by death.

But Rwandan authorities were tight-lipped on Friday about what they would do with General Nkunda. “I can’t speculate,” said Maj. Jill Rutaremara, a spokesman for Rwanda’s Defense Forces. All he would say was that General Nkunda was “in the hands of Rwandan authorities.”

Though General Nkunda never controlled more than a handful of small towns in eastern Congo, he was Congo’s No. 1 troublemaker. His troops have been accused of committing massacres dating back to 2002. General Nkunda recently began cultivating national ambitions to overthrow Congo’s weak but democratically elected government, which threatened to draw in Congo’s neighbors and plunge central Africa into a regional war, something that has happened twice before.

General Nkunda’s confidence may have been his undoing. On Thursday night, hundreds of Rwandan troops cornered him near Bunagana. Congolese officials said he refused to be arrested and crossed into Rwanda, where he was surrounded and taken into custody. It is not clear how many men he had with him at the time, but it appears he was taken without a shot.

Just a few days ago, Rwanda sent several thousand soldiers into Congo as part of a joint operation to flush out Hutu militants who had killed countless people in the 1994 Rwanda genocide and were still haunting the hills on Congo’s side of the border.

Few expected the Rwandan troops to go after General Nkunda. Not only is he a Tutsi, like Rwanda’s leaders, but he had risen to power by fighting these same Hutu militants. Several demobilized Rwandan soldiers recently revealed a secret operation to slip Rwandan soldiers into Congo to fight alongside General Nkunda. He had been trained by the Rwandan Army in the mid-1990s and was widely believed to be an agent for Rwanda’s extensive business and security interests in eastern Congo.

But it seems that the Rwandan government abruptly changed its tack, possibly because of the international criticism it has endured for its ties to General Nkunda. Several European countries recently cut aid to Rwanda, sending a strong signal to a poor country that needs outside help. Rwanda may have figured the time was ripe to remove General Nkunda, analysts said.

Earlier this month, some of General Nkunda’s top commanders split from him, saying they were fed up with his king-of-the-world brand of leadership. One of those commanders was Mr. Ntaganda. Prosecutors at the International Criminal Court have accused him of building an army of child soldiers, a war crime.

But Mr. Ntaganda suddenly switched sides, denouncing General Nkunda and saying that he and his men were now eager to join the Congolese Army, which they had been battling for years. Many analysts believe that the Congolese government promised to try to protect Mr. Ntaganda from being sent to The Hague.

According to Jason Stearns, an analyst who recently served on a United Nations panel examining the conflict: “It’s fairly clear that Kigali and Kinshasa have struck a deal. Kinshasa will allow Rwanda onto Congolese soil to hunt down” the Hutu militants, “and in return Rwanda will dethrone Nkunda.”

Congolese officials are now talking about restoring full diplomatic relations with Rwanda, which had been suspended for years, and reinvigorating economic ties. But many uncertainties remain, including a possible power scramble by other militant groups hoping to fill the vacuum.

“Nkunda’s arrest is part of a larger, radical realignment,” Mr. Stearns said. “There are, however, many unknowns and risks.”
 
Its cards playing in the Esrtern Congo.Gen Nkunda is a renegade Rwandan puppet.
I hope every body has noticed that the West is no longer cosy with the Kagame regime over the Eastern Congo adventure.Kagame is now calling in the cards by "arresting" Gen Nkunda.
Troubles in Eastern Congo have a Kagame blue print
The Wesr decided to get together over the whole issue and put some pressure on Kagame.Last year a very senior Rwanda official, a lady, was arrested in Germany and sent to Paris-that my friends is pressure!
Kagame has noticed the writting on the wall and he is deciding to call in the strong man Gen Nkunda.
 
habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa

Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo amejigamba kwamba mdahalo kati yake na mashaka lazima ufanyike kwa sababu tayari wanahabari wake wameanza kumfatili mashaka ili kumshawishi kushiriki.

Mzee mzima dakta, pia ameonyesha shauku ya kugombea ubunge katika bunge lijalo

Kama hizi habari ni za kweli, basi jamaa takuwa amejidhalilisha sana.
Edit/Delete Message

Wakuu mods ,this is getting way out of line.Mashaka na Us blogger, Dr Shayo wana uhusiano gani na Gen Nkunda?
 
Afrika nyeusi ina kazi kubwa. Si kazi ya kuisha leo wala kesho. Hii ni kazi ya milele – vizazi kwa vizazi vijavyo. Ina kaz inayohitaji si tu ujasir lakin pia ubunifu, kujituma na zaid ya yote uzalendo kwa afrika.
Afrika ya leo isipodumazwa na magonjwa (yanayotibika kwa yasiyotibika), itadumazwa kwa njaa. Isipodumazwa kwa rushwa, mikataba ya fyokofyoko, wizi wa aina mbalimbali na nk.itadumazwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ili mradi siku zote kuna takataka zinazosababisha tusisonge mbele nasi tuishi maisha ya staha. Tuishi kama binadamu wa siku hizi.
Hebu cheki, daktari mkongoman majuzi kapata tuzo ya kuwa mwafrika bora kwasababu kliniki yake imewasaidia akina mama wanaopata mateso ya kubakwa katika kongo. Kisa cha kubakwa? Katika nchi kama kongo si vigumu kujua kwanini kubakwa wanawake linaweza kuwa jambo la kawaida.
Hebu licheki li kongo. Bonge la nchi. Na si jangwa au kame kama ilivyo sehemu ya kaskazin mwa Kenya. Si tu kuwa likongo lina ardhi nzuri kwa kilimo (kwasababu si jangwa) lakini pia linasemwa kuwa limejaa madini ya kila aina. Madini ambayo yanatakiwa sehemu mbalimbali duniani.
Lakini ukisikiliza habari za huko utashangaa. Kutoka sehemu moja kwenda sehemu ingine ya kongo ni kazi hasa. Chakula baadhi ya sehemu ni shida kupata.
leo hii watu wa kongo wako vitani. Sehemu yenye vita ni kama haiwezekani kuendesha shughuli za kiuchumi kama vile kujenga barabara, kulima, kufanya biashara, kuchimba madini na nk. Na shughuli hizo zikifanyika zinakuwa zinawanaufaisha baadhi. Na hasahasa askari.

Nkunda anapigana akidai analinda watutsi. Sina uhakika kama hicho ndio anachopigania hasa au la. Lakin nina uhakika matokeo ya vita ni watu wa makabila mengine kupata adha kadhaa ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha. Na matokeo hayo huenda huwapata na hao anaodai kuwapigania.

Vita yoyote afrika haifai. Ni ufisadi kwa mwafrika. Ni ufisadi kwa ngozi nyeusi.
Mauaji yoyote ya halaiki hayatakiwi afrika na duniani pote.
Rushwa, wizi wa aina yoyote unaofanywa na viongozi na wengineo, maonevu na manyanyaso, ni vitu ambavyo afrika haivitaki kwa sasa. Vinamdhalilisha mtu mweusi.

Akina kabila, habyarimana na wengineo wangeweza kusema watutsi/banyamulenge hawafai au waondoke. Lakin waende wap? Kuna weza kuwa na matatizo kweli lakin wao tunawaita viongoz/marais. Ni kazi yao kutatua matatizo yanayozikumba jamii zao. Lakin si kwa bunduki na mabomu.
Nkunda na watutsi wenzake wanaweza kuamin kuwa walizaliwa superior, sasa ni kazi ya vionngoz katika afrika ya weusi kutatua matatizo kama haya. Matatizo kama haya huenda solutions zake hazimo kwenye vitabu lakin still hiyo haiwez kuwa hoja ya kuacha hali iwe kama ilivyosasa.

Pale mwanzo nimesema hali hii itaendelea milele na milele tusipokuwa makin kwa sababu tukae tukijua kuwa mwafrika akifukarika haimsumbui mtu mwingine hapa duniani zaid ya mwafrika mwenyewe.
Yapo mashirika mengi ya kidin, kiserikali, na yale yasiyokuwa ya kidin wala kiserikali ambayo yanamwaga mahela na misaada mingine kwa nchi za afrika, lakin bado inaripotiwa kuwa huko nyuma tulikuwa bora kuliko sasa. Kwanini tunapata misaada laini hatusongi mbele? Hatujui kuitumia? Mtoa misaada hana nia njema?

Kulekule inakotoka misaada ya kila aina ndo zinakotoka silaha zinazotumika katika kongo. Ndiko wanunuzi wakubwa wa madin ya kongo wanakotoka. Ndiko wanakotoka wanaochimba mafuta katka Nigeria. The list goes on.

Hebu assume kama kongo kungekuwa na amani na serikali ingekuwa si ya wala rushwa. Hebu chukulia kama Nigeria wangekuwa hawana rushwa na si wez wa mali ya uma. Wakati hali ikiwa hivyo, fikiria kama wanunuzi wa hayo madin/mafuta wangekuja na nchi hizo zingeingia mikataba inayozinufaisha nchi zao. Matokeo yake yangekuwa yapi? Ni wazi mwafrika angepata ahueni zaid. Hospitali karibu na anapokaa. Shule nzur zaid. Barabara bora zaid. Vifaa bora zid vya kufanyia kaz iwe mashambani au kwingineko na nk.

Lakin sasa mambo si kama hivyo. Kisa ni sis na kina abacha wetu. Kina mobutu wetu. Kina nkunda wetu. The list goes on.

Wenzetu watazid kutufarakanisha mpaka tukome. Na katka mifarakano, hakuna kujenga. Ni kubomoa mtindo mmoja.

Hebu cheki tena. LRA wanapigana katka afrika na kuna wakristo wengi na watu wengine katka afrika wanaona hilo si tatizo sana maana wanapigana katka jina la mungu na waafrika wenzetu wasudan wanawaunga mkono. Matokeo kwa afrika ni yap?
SPLA wanapigana na serikal ya sudan na daadhi ya nchi za afrika zimepata kuripotiwa kuunga mkono. Matokeo ya vita hiyo kwetu ni yapi?
Nkunda anapigana kongo. Baadhi ya wasomi, viongoz na waafrika wa kawaida wanaona hilo sawa. Eti analinda watu wake. Nin matokeo ya vita hivyo kwa maendeleo ya mwafrika? Tuwashupalie na tuwapinge kwa nguvu zote wale wote ambao kwa njia moja au ingine wanasababisha vita/mauaji katka afrika. Na hii ni pamoja na viongoz wa serikali zilizopo madarakan katka afrika.

Ni kweli viongoz katka afrika wanasababisha maudhi na maonevu mengi. Lakin kushika silaha huongeza matatizo zaid. Na matatizo yanayosababishwa na matumizi ya silaha huzaa visasi na ni vigumu kuyarekebisha.

Katkati ya vita kama kongo ni vigumu kushughulika na madudu kama EPA, Richmond, na sijui kiwira, ndege ya rais na rada.

Mara ingine huwa nafikiria kuwa kuondokana na matatizo kama ya kina nkunda na kabila afrika ingekuwa kama nchi moja.
Ingekuwa hivyo nkunda angeshika silaha dhidi ya kabila? Uganda na Tanzania zingepigana? Eritrea na Ethiopia zingechapana? Hali ingekuwa kama ilivyo Somalia leo? Mitafaruku ya Kenya na Zimbabwe ingetokea? LRA na SPLA wangeendelea kupeta?

Lazima mwafrika ajue. Siku zote kutakutokea excuse ya kubeba silaha na kupigana na mwafrika mwenzio. Sasa lazima mwafrika ajue kuwa kuna mbadala wa kubeba bunduki na mabomu na kuanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom