Who is Daniel?

Ukitaka kupata "uwendawazimu",uwe unasikiliza maneno ya watoto hasa wa kike.Full abracadabra&pure comedy!
 
usipemde kumuwazia mtoto negatives
mpaka useme hilo ina maana ushajua tabia zake
kama ana tabia njema huwezi sema atakuwa bf wake
 
Naelewa hivyo kaka, but my concern ni kuhusu binti yangu wa miaka 7 kusema analipenda sana hilo jina.

Daniel ni uncle wake na huyo bintiako ambaye huwa anawatoa out yeye pamoja na my wife wako unapokuwa nje ya nchi kikazi!
 
Mkuu unaonaje kama mwanao angependekeza mtoto akizaliwa aitwe "Ndizi".
Nadhani ungedhani anatania au ana akili ya kitoto.lakini iwapo angependekeza jina la "Rose" fikra zako zingekuwa tofauti.kwa ufupi sisi wanadamu tunaathiriwa na mazoea na vinavyotuzunguka.
Sio vibaya kwa baba anaejali kuanza kuwa na "mashaka" na bintiye lakini ni vema kutopitiliza ktk fikra hizo.
 
Ni daniel alieimbwa kwenye wimbo wa Elton John. Aliusikia na kuuona kwenye tv. Au hauna tv?. Sasa una wasiwasi gani?
 
Ntakuja kesho kufafanua vizuri, sasa hivi nawahi nimeuacha mchepuko wangu uko pepe yake bar, watautongoza. Ni somo refu sana kaka, but inawezekana
.Mkuu aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.Huyo malaika kataja tu kama mapenzi yake yalivyo mtuma,kuwaza zaidi ya hapo nikumkosea haki.Mtake radhi
 
Kama ni mkristo alipata kusikia hadithi ya waakina Daniel huko sunday school ikamvutia, nalo hilo liweke kichwani.
 
nifafanulie hapo nifanyaje kujua jinsia ya mtoto aliye tumboni

lol are you serious?

ultra sound.

kama mtoto amekaa katika pisition zuri itakayoonekana vizuri, mimba ya miezi 5 inaonyesha vizuri sex ya mtoto kupitia ultra sound. kwa wengine inaweza kuonekana kabla ya miezi mitano pia.
 
Jibu hapana, inatokea tu, baba mapema sana kuanza kumfikiria mambo ya ajabu ajabu binti yako
 

Daniel is a very good name Relax and give your son that name you won't regret

By the way ni watu gani wasiologeka kirahisi? Ni walokole tu? au kuna aina nyingine ya watu labda kwa life style yao huwa wachawi hawawezi kuwaloga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…