Who is Daniel?

Atakuwa Ni Boyfriend Wake Huyo Hivi Vitoto Vya Siku Hizi Balaa Miaka Sita Tu Tayali Kanajua Mtoto Anapatikanaje Wakati Sisi Tulidanganywa Mtoto Wanatoa Mtoni.
Na Hii Ndio Digital Generation.


Kwanini ufikirie huko haraka namna hiyo?

kwanini hupanua fikra zako kwa vitu vingine Kama mwalimu wake...rafiki Wa kawaida....classmate... actor..(maana watoto huvutiwa Sana na washiriki Wa filamu mfano Daniel ktk tamthiliya ya kifilipino ya hivi karibuni)

ili upate jibu sahihi jaribu kuiondoa nafsi yako ktk zizi moja LA fikra.....
 

Hahahaha Umenikumbusha Mbali Sana Kucheza Kibaba Na Kimama.
 

Tatizo Moja Mavijana Ya Siku Hizi Mmechukulia Neno BOYFRIEND KAMA MPENZI Mimi Hapo Namaanisha Boyfriend Kama Rafiki Yake Wa Kawaida Wanaecheza Naye VIKOPO.
 
Tatizo Moja Mavijana Ya Siku Hizi Mmechukulia Neno BOYFRIEND KAMA MPENZI Mimi Hapo Namaanisha Boyfriend Kama Rafiki Yake Wa Kawaida Wanaecheza Naye VIKOPO.

Mimi nawewe nani kaanza kuchukulia tofauti maana ya hilo neno? usiwe na akili fupi kama KUCHI hebu jisome hii comment yako ulimaanisha nini
Atakuwa Ni Boyfriend Wake Huyo Hivi Vitoto Vya Siku Hizi Balaa Miaka Sita Tu Tayali Kanajua Mtoto Anapatikanaje Wakati Sisi Tulidanganywa Mtoto Wanatoa Mtoni.
Na Hii Ndio Digital Generation.
kuwa makini si kila unaejadiliana nae ana akili fupi.
 
Ntakuja kesho kufafanua vizuri, sasa hivi nawahi nimeuacha mchepuko wangu uko pepe yake bar, watautongoza. Ni somo refu sana kaka, but inawezekana

Mchepuko nao unaexpect?
 
Me kilichonishangaza ni
i)bado watu wanasubiri wazae ndo wajue gender ya mtoto! Unless mnataka surprise sawa.

ii)miaka 7 yuko grade 3!!! duh. not bad ndo system ilivyo siku hizi lakini huwa naona kama utoto utawapita watu kwasababu ya kuwahi kudeal na stress za maisha

iii)ukitaka kudeal na mtoto usiangalie miaka angalia yuko darasa la ngapi. yani mtoto akishaanza shule, you can control very little. nakumbuka mimi nilijua kuhusu porn wakati niko darasa la saba. wasichana wengi tulikuwa na miaka 13. Lakini best friend wangu alikuwa na miaka 11!!!!

iv)unafikiri watoto huwa "hawapendi"? they might not think of sex but be sure wao sio midoli. hata wanyama hupenda. inaweza kuwa unavyifikiri. kwamba kuna mtu anampenda ana jina hilo. tena sio lazima awe mtoto.
Au labda kalipenda tu!

v)labda kwasababu ni mtoto wa kike. lakini angekuwa wa kiume ungefurahi sana. jinsi ninavyoogopa "mabwabwa", kama itanibidi kumtafutia mwanangu girlfriend at 7yrs ili kuepuka, I WILL DO IT.

v)kuliko kukaa na wasiwasi na mawazo negative, kwanini usimuulize binti yako?
 

baada ya kusoma hii nikaangalia na avatar yako nimecheka sana. Mbona haviendani?

plus naomba kujua source ya knowledge yako kuhusu uchawi?
 

Jina Daniel lina maana ya "Hakimu wangu ni Mungu pekee"
 

Hongera...naona miezi inakatika tu, miezi 6 hiyo. bado 3
 
[QUOTaE=Alpha Cleverly;10793004]Miaka saba yuko darasa la 3....!???[/QUOTE]

Kwani Ajabu? Wa Kwangu Wanamiaka 4 Wako Dalasa La Kwanza. Hizi Sio Enzi Za Nyerere Za Kupima Mkono Kama Unashika Sikio.
 

nifafanulie hapo nifanyaje kujua jinsia ya mtoto aliye tumboni
 
we acha kuhisi mtoto vibaya ulitaka achague jina amechagua unachotakiwa ni kulikubali au kulikataa na si kumuwazia mtoto habari za boyfriend pengine hajui kitu maskini ingekuwa mnachagua rangi ungewaza hayo?
 
boyfriend wa bint yako huyo
 
Labda amefundishwa na mamake amtaje Daniel kwake mama huyo Dsniel ni siri yake
 
Huyo Mtoto atakua na kiherehere tu na anapenda kurukia mazingumzo

Labda alimaanisha Daniel sturridge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…