LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,302
MY FIANCEE ANA TARAJIA KUJIFUNGUA MTOTO MWEZI JANUARY 2015. Nina binti yangu (first born ) ana maka 7 anasoma Standard Three. Last week me ni waubavu wangu tulikuwa tunajadili jina la kumpa mtoto atakaezaliwa. Kama atakuwa wa kike tumpe jina gani na akiwa wa kiume tumpe jina lipi. Mtoto wangu yeye ali suggest akiniaambia " Daddy kama akizaliwa wa kiume mumuite Daniel ". She insisted a lot about that name. Nikamuuliza kwa nini Daniel, akasema basi tu analipenda sana hilo jina.
Najiuliza, kitu gani kinaweza kumfanya msichana wa miaka saba kulipenda jina la kiume? Anaweza kuwa na rafiki kipenzi mvulana anayeitwa Daniel ? Au labda anavutiwa na kupendezwa na mtoto mwenzake ( probably classmate ) anaye itwa Daniel ? Guys nyie mmeonaje hapo ? Kama majibu ya maswali yangu yatakuwa ndio , itanibidi nifanye kazi ya ziada kuokoa jahazi, maana kama ni binti wa miaka saba tu ameshakuwa na swaga hizo akifikisha miaka 12 itakuwaje ? Nipeni mawazo yenu please. THE AIM IS TO AVOID ANOTHER LULU DRAMA