Who deserves the FIFA Ballon d’Or – Ronaldo, Messi or Neuer?

a96e35e86225b4c7594b2c742db79f3e

Mm n shabiki wa messi....but kama hii attachment ni ya ukweli...cjui nisemeje yaani

Daah
 
Mm n shabiki wa messi....but kama hii attachment ni ya ukweli...cjui nisemeje yaani

Daah

Huu ni mwaka wa CR7, lakini kuna watu wenye chuki binafsi wanaona aibu kumpa Messi mwaka huu kwa hiyo wameamua kufanya kampeni ili Ballon d'Or apewe Manuel Neuer. Ndio hapo ukae ukijua kuna haters kwenye kila fani.
 
Where is James Rodriguez?

Where is Thomas Muller?

Where is Neymar?

Those are top world cup scorers.

Wewe kibibi hivi unakuwaga na matatizo gani maana mara nyingi comment zako utafikiri umetupiwa jini... Hivi hao uliowataja kweli kabisa unaona wanafurukuta kwenye hiyo list ya hao 3 bora kweli?
 
wewe kibibi hivi unakuwaga na matatizo gani maana mara nyingi comment zako utafikiri umetupiwa jini... Hivi hao uliowataja kweli kabisa unaona wanafurukuta kwenye hiyo list ya hao 3 bora kweli?

hahhaah..muutambue uwepo wake kwenye soka....
 
National Team Captains na Makocha watapiga kura za wazi na mshindi atajulikana...hakuna longolongo...
.....my support goes to CR7.....
 
Wewe kibibi hivi unakuwaga na matatizo gani maana mara nyingi comment zako utafikiri umetupiwa jini... Hivi hao uliowataja kweli kabisa unaona wanafurukuta kwenye hiyo list ya hao 3 bora kweli?

Nisome tena halafu jibu maswali niliyouliza, wacha kiherehere.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom