Who created ISIS?

Status
Not open for further replies.

MOJA:
(Tukiweka pembeni haya mambo ya hizi dini) Western countries in few years to come hazitaendelea kua technologies centres tena, angalia nchi hizi zilipo sasa kiteknologia then linganisha na zilivyokua miaka hamsini nyuma. CHINA, JAPAN, S.KOREA, INDIA, BRAZIL, NADHANI HAPA utapata jibu mwenyewe miaka ya mbeleni itakuaje

MBILI:
Arabs hawawezi kuisilimisha europe coz walishajaribugi na hawakuweza (Spain), ISLAM in Amerca is Less than 3%, pamoja na kua hawajaachana sana na jews hawana influence yeyote ukilinganisha na jews ( hujiulizi ni kwa nini wakati populations zao hazijaachana sana)? Kiaslili myahudi ana akili kuliko mwarabu mkuu

muslims wengi wa USA waliosilimu ni hawa hawa blacks waswahili wenzetu wenye asili ya pemba mfano Tyson, Ice cube N.K,
Lakini kwa whites bado sana mkuu.

TATU:
"with all technologies and resources itakuwa under muslim hands?"
Muslims/Arabs kuanzia hii dunia inaanza mpaka leo hana akili ya teknologia zaidi ya kuuza mafuta, hamna chochote alichogundua mpaka leo mwarabu kuanzia azaliwe (with reference to jews ambao ndo source ya JUDAISM AND CHRISTIANITY ) SO ISLAM WILL NEVER BE ON TOP CHRISTIAN AND JUDAISM UNTIL THE END OF THIS DUNIA. ISLAM ATAENDELEA TU KUTAWALIWA MKUU NA HAO WAKUBWA ZAKE HAPO HANA UJANJA
 

No sources then no one will believe you...
 

uongo mtupu huuu kadanganyane huko misikitini mlikozoea kudanganyana!
 
uongo mtupu huuu kadanganyane huko misikitini mlikozoea kudanganyana!
Sidhani duniani kuna wtu waongo kama wakristo, sababu wanasema Yesu alikufa kwenye msalaba kwa kujitolea ili wakristo wote wafutiwe dhambi zao. Wakati Bibilia zao zinasema 27:22 Pilato akawauliza, "Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?" Wote wakasema, "Asulubiwe!"
27:23 Pilato akauliza, "Kwa nini? Amefanya kosa gani?" Wao wakazidi kupaaza sauti: "Asulubiwe!"
27:24 Basi, Pilato alipotambua kwamba hafanikiwi chochote na kwamba maasi yalikuwa yanaanza, alichukua maji, akanawa mikono mbele ya ule umati wa watu, akasema, "Mimi sina lawama juu ya kifo cha mtu huyu; shauri lenu wenyewe.
 
Ndugu acha kupingana na Yesu Kristo aliye uzima na amani ya kweli kwako.nakusihi usipoteze neema hii kwako binafsi
 
Ndugu acha kupingana na Yesu Kristo aliye uzima na amani ya kweli kwako.nakusihi usipoteze neema hii kwako binafsi
Acheni ujinga wakristo, hata bibilia zenu zinasema binadamu hawezi kumuona Mungu akaishi, sa wangapi walimuona Yesu na wakaishi. Tukiwambia huyu Paulo kawatekeni akili mnabisha, si unajua muongo hata uongee uwongo vipi lazima kuna point utanaswa tu.

Tazama Agano la Kale katika kitabu cha kutoka 33:20, Mungu anamwambia Musa:"Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi".

Tuendelee katika kutafuta point zingine kuonyesha Yesu si Mungu.



"Sikieni, enyi Israel: Bwana Mungu wetu ni Mungu Mmoja tu" (Marko 12:29)

"Na Mola wenu ni Mungu mmoja tu: hakuna Mungu mwingine isipokuwa Yeye". (Quran 2:163)

ukristo unababaika kueleza maana ya "Mungu mmoja" tatizo hilo halipo katika Uislamu.

"Wamekufuru wale wasemao - Mwenyezi Mungu ni mmoja katika (wale waungu) watatu - (yeye ndiye wa tatu wao). Hali hakuna Mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja (tu peke yake). (Quran 5:73)
 
Propaganda at work, ISIL wamefukuza na kuua wakristu Mosul, ndivyo walivyoagizwa na western countries?. ISIL ni kundi la waislam wenye itkadi kali, muache kubebesha watu wengine mzigo wa Mohammed

Hapo ndio wakristo WA third world mnapokwenda mchomo .Mzungu hana dini inayoitwa ukristo .Dini ya mzungu Ni maslahi na Mungu wake Ni Pesa. Ukristo madhali unampatia pesa Afrika ataulinda.Hata hizo dini za kiafrika zikimpatia pesa atazilinda na ndiyo akamweka mungu WA wakristo kuwa Ni mzungu. Ulaya hakuna ukristo umeshakufa.Makanisa mengi yanauzwa hayana watu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…