Who created ISIS?

Who created ISIS?

Status
Not open for further replies.
Propaganda at work, ISIL wamefukuza na kuua wakristu Mosul, ndivyo walivyoagizwa na western countries?. ISIL ni kundi la waislam wenye itkadi kali, muache kubebesha watu wengine mzigo wa Mohammed
 
Nkobe, kinachonishangaza nikuona hata nchi za magharibi zipo kimya na mpaka sasa hawajachukua hatua yoyote . Hawaja washambulia kama walivyo washambulia Taliban Kyle Afghanistan . Tusubiri na tuone muda utatuambia.
 
Its believed that ISIS was created by western powers,namely US,Israel, UK and others. How true is this phenomena...

Kama ndio hvyo basi hata uislam ulianzishwa na nchi za magaribi. Maana kila kikundi cha kiislam inasemekana kimeanzishwa na westerners mfano boko haram,alshababu,isis at al.

Lakini pia waarabu watakua ni watu wasio na akili duniani,kila siku wagombanishwe wao tu,wauwane wao.
 
Nkobe, kinachonishangaza nikuona hata nchi za magharibi zipo kimya na mpaka sasa hawajachukua hatua yoyote . Hawaja washambulia kama walivyo washambulia Taliban Kyle Afghanistan . Tusubiri na tuone muda utatuambia.

Nadhani uko Kigoma hivyo hujui kunachoendelea, kwa taarifa yako midege mikubwa imeanza kushAmbulia strong holds za ISIS katika irag na hivi punde watu zaidi ya 60 wameuliwa kwa makombora ya ndege.
 
Let's wait and see. Mkuu Gama dunia nikama kijiji . Mimi niko huku mwamgongo lakini habari zote nazipata sawia nawaliopo New York city.
 
OK, OK, uko Newyork na hujasikia kuwa makomandoo wameshafika Iraq kwa ajili ya kumtafuta na kummumalisa kharifa Abu Bakri al Baghdad al Ibrahim??!!, nimesitushwa na kauli yako na uungwaji mkono kuwa westerners hawajaonesha interest to intervin??!!. Hata hujapata kusikia kuwa wametagaza ransom ya dola mil 60 kwa atakayewezesha kupatikana kwa self proclaimed kharif?????. Get serious kabla huja support conspiracy za wanaotaka kujaza served za JF.
 
Thanks Gama kwa kunipa habari.
Bravo, ISIS ilianzishwa na muungano wa waislam wenye imani Kali, hupata Fedha kwa kuchangishana na kuiba mafuta na kuyauza kwa magendo. Inakadiriwa kuwa wanaweza kupata hata dola mil 600 kwa mwezi kutokana na Biashara hiyo, aapiganaji wake wengi ni volunteers kutoka nchi mbalimbali.
 
Propaganda at work, ISIL wamefukuza na kuua wakristu Mosul, ndivyo walivyoagizwa na western countries?. ISIL ni kundi la waislam wenye itkadi kali, muache kubebesha watu wengine mzigo wa Mohammed

Ebu jiulize , ISIL/ISIS, wanafanya harakati zao Iraq na Syria kwa wakati mmoja. Syria wanataka kumungoa Assad...huko wanaungwa mkono na US na EU, huku Iraq wantaka kuingoa serikali ya Iraq (US na EU) wanakuja juu. Kwa nini US na EU wanakuwa na msimamo unaoyumba juu ya ISIS?

Alichokileta mwanzisha mada chaweza kuwa na mashiko....!!
 
OK. Kwanini nchi za magharibi zimekaa kimya muda mrefu. Wasiwasi ndio akili.....
 
Bravo, ISIS ilianzishwa na muungano wa waislam wenye imani Kali, hupata Fedha kwa kuchangishana na kuiba mafuta na kuyauza kwa magendo. Inakadiriwa kuwa wanaweza kupata hata dola mil 600 kwa mwezi kutokana na Biashara hiyo, aapiganaji wake wengi ni volunteers kutoka nchi mbalimbali.

Hata mi huwa nashangaa wanafanya kazi za shetani eti kwa ajili ya mungu...nimefuatlia source tofauti tofauti nimegundua kuwa vyanzo vingi vya mapato ya hao wanaojiita wajahidin si vya hakalu na ambavyo mungu amevijataza hasa uporaji nashangaa je Mungu ameruhusu hili watu wafanya uovu kwa ajili yaje au ni mwamvuli tu kwa maslahi ya kisiasa
 
Propaganda at work, ISIL wamefukuza na kuua wakristu Mosul, ndivyo walivyoagizwa na western countries?. ISIL ni kundi la waislam wenye itkadi kali, muache kubebesha watu wengine mzigo wa Mohammed

mkuu hiyo ndio siasa...hasa ya middle East...for sure wale jamaa na Al Qaeda na hata Taliban wenyewe ni watu walio na mitizamo wa kupigania dini ila who funds them?

ngoja tutazame......FACTS zifuatazo ambazo ndio history yenyewe

1...Taliban na Osama bin Laden wakati huo akiwa ametoka kwenye ukachero wa USA walipewa fedha na mafunzo na silaha wasikubali uvamizi wa wasoviet kule Afghanistani miaka ya 1980...hili limewahi kusemwa na Hillary Clinton akihojiwa na television ya FOX kwa maana kuwa USA hawakutaka kamwe RUSSIA wakati huo USSR na ukomusti wao waikamate mashariki ya kati na asia kwa kuwa walivamia Afghan wakawapa sapport Russia wakatoka...hiki kikundi peke yake kisingeweza vita ya kuito Russia....

2...Wakati wa Arab spring iliyofikia hatamu yake kwa vita vya Syria kwa miaka miwili...ni kuwa USA na ISRAEL wana tegemea sana EGYPT kama strong Arabic country kama mshirika wao...kuipoteza misri kuingia kwenye mikono ya Brotherhood ni kuipoteza Middle East na threat kwa Taifa la Israel...thats why wakati wa demonstrations BENJAMIN

NETANYAHU alinukuliwa akisema

"we are observing carefully political changes in Egypt as we are fearing a country to be governed by Extremist more than Iranian Government"

Ndio maana USA hawakuwa wakisema wazi Hosni kuondoka madarakani ispokuwa walikuwa wakisisitiza "Mubarak has to make Reforms"

ufahamu kuwa EGYPT ndio nchi ngangari ya kiarabu kuliko zote kwa kuwa wako na jeshi kubwa sana na la kisasa kupitia funds za USA wakati wa utawala wa Anwar al Sadaat na Hosni mubarak kwa miaka 40 mpaka sasa...therefore Morsi japo alishinda uchaguzi alikuwa na CONNECTION na HAMAS kwani ikumbukwe kuwa yeye aliwaita FATAH (ya mahmoud Abbas na Hamas (mousa ibn Abu marzouk na Khalid Mashal) mjini Cairo na kuwaunganisha waache tofauti zao ndio maana kuna Unity goverment mpaka sasa upande wa palestina....na akafungua mpaka pekee wa GAZA huko Rafah amabo kwa mujibu wa mkataba baina ya Hosni na Israel unafungwa kwa kuepusha kuvusha silaha kwenda Kwa resistance groups kule Gaza .

hii ndio iliyomuondoa MORSI madarakani...then huyu aliyeshika madaraka Brigedia AL SISI ni Puppet leader wa USA na israel..anachoweza kuwasaidia Gaza ni peace Talks

3...Syria...mnaweza kuidharau ila kwa hakika nchi iliyo na kinyongo na State of Israel basi mojawapo ni Syria..kwa kuwa vita vya mwaka 1973 walipoteza milima ya Golan kusini mwa nchi yao eneo hilo analo Israel mpaka leo...kwa kuwa muda wote toka baba yake Bashar Assad (Hafidh Al Assad) amabye alikufa mwaka 2000 alikuwa anti Zionism and America na akakuza uhusiano wake na IRAN..chance ya kumtoa ilikuwa ni mwaka 2011 pale wananchi walipotaka atoke madarakani...hapo ndipo ISIS ilipozaliwa

ISIS ni akina nani? (ni muunganiko wa vikundi vingi kama 30 vya wanamgambo wa kiislamu) waliopewa mafunzo na USA na NATO ili wamtoe BASHAR kule Syria kwa kuwa RUSSIA alikuwa na interest zake kule na Iran wakashirikiana kumpatia silaha akawashinda waasi...ndio mpaka leo waasi wa ISIS wana mafunzo na pesa zote walipata kwa USA na baadhi ya mataifa ya kiarabu yanayoifanyia kazi America....

ISIS iraq kunani? tawala ya Nuru Al maliki baada ya kusimikwa na USA amejikuta anapata sapport kubwa ya kifedha kwa IRAN (kwa kuwa ni mashia wenzake) so uhusuano wa serikali ya Iraq na America si mzuri sana kama na IRAN ndio maana kundi hili limehamia Iraq kuendesha harakati zake....
 
4...Libya...wakati wakazi wa Bengazi waliponyanyua sauti zao kutaka Gadaffi atoke madarakani...mataifa ya magharibi yenye nguvu walichosema ni kuwa

"ghadaffi has lost legitimacy to rule his people so he should step down quickly"

yalianza ni maandamano mara ikawa kikundi cha waasi..kule Benhazi ikawa kama point ya kuanzia Harakati zote...NATO kama kawaida wakawapa silaha wale vijana na mafunzo mazuri ya kupigana na wakamwekea "NO FLY ZONE" muamar Ghaddafi na kumtangazia kuwa amnawaua wapinzani wake na ICC (international Criminal court) wakatoa warranty ya kukamatwa kwake kwa "WAR CRIMES"
 
mkuu hiyo ndio siasa...hasa ya middle East...for sure wale jamaa na Al Qaeda na hata Taliban wenyewe ni watu walio na mitizamo wa kupigania dini ila who funds them?

ngoja tutazame......FACTS zifuatazo ambazo ndio history yenyewe

1...Taliban na Osama bin Laden wakati huo akiwa ametoka kwenye ukachero wa USA walipewa fedha na mafunzo na silaha wasikubali uvamizi wa wasoviet kule Afghanistani miaka ya 1980...hili limewahi kusemwa na Hillary Clinton akihojiwa na television ya FOX kwa maana kuwa USA hawakutaka kamwe RUSSIA wakati huo USSR na ukomusti wao waikamate mashariki ya kati na asia kwa kuwa walivamia Afghan wakawapa sapport Russia wakatoka...hiki kikundi peke yake kisingeweza vita ya kuito Russia....

2...Wakati wa Arab spring iliyofikia hatamu yake kwa vita vya Syria kwa miaka miwili...ni kuwa USA na ISRAEL wana tegemea sana EGYPT kama strong Arabic country kama mshirika wao...kuipoteza misri kuingia kwenye mikono ya Brotherhood ni kuipoteza Middle East na threat kwa Taifa la Israel...thats why wakati wa demonstrations BENJAMIN

NETANYAHU alinukuliwa akisema

"we are observing carefully political changes in Egypt as we are fearing a country to be governed by Extremist more than Iranian Government"

Ndio maana USA hawakuwa wakisema wazi Hosni kuondoka madarakani ispokuwa walikuwa wakisisitiza "Mubarak has to make Reforms"

ufahamu kuwa EGYPT ndio nchi ngangari ya kiarabu kuliko zote kwa kuwa wako na jeshi kubwa sana na la kisasa kupitia funds za USA wakati wa utawala wa Anwar al Sadaat na Hosni mubarak kwa miaka 40 mpaka sasa...therefore Morsi japo alishinda uchaguzi alikuwa na CONNECTION na HAMAS kwani ikumbukwe kuwa yeye aliwaita FATAH (ya mahmoud Abbas na Hamas (mousa ibn Abu marzouk na Khalid Mashal) mjini Cairo na kuwaunganisha waache tofauti zao ndio maana kuna Unity goverment mpaka sasa upande wa palestina....na akafungua mpaka pekee wa GAZA huko Rafah amabo kwa mujibu wa mkataba baina ya Hosni na Israel unafungwa kwa kuepusha kuvusha silaha kwenda Kwa resistance groups kule Gaza .

hii ndio iliyomuondoa MORSI madarakani...then huyu aliyeshika madaraka Brigedia AL SISI ni Puppet leader wa USA na israel..anachoweza kuwasaidia Gaza ni peace Talks

3...Syria...mnaweza kuidharau ila kwa hakika nchi iliyo na kinyongo na State of Israel basi mojawapo ni Syria..kwa kuwa vita vya mwaka 1973 walipoteza milima ya Golan kusini mwa nchi yao eneo hilo analo Israel mpaka leo...kwa kuwa muda wote toka baba yake Bashar Assad (Hafidh Al Assad) amabye alikufa mwaka 2000 alikuwa anti Zionism and America na akakuza uhusiano wake na IRAN..chance ya kumtoa ilikuwa ni mwaka 2011 pale wananchi walipotaka atoke madarakani...hapo ndipo ISIS ilipozaliwa

ISIS ni akina nani? (ni muunganiko wa vikundi vingi kama 30 vya wanamgambo wa kiislamu) waliopewa mafunzo na USA na NATO ili wamtoe BASHAR kule Syria kwa kuwa RUSSIA alikuwa na interest zake kule na Iran wakashirikiana kumpatia silaha akawashinda waasi...ndio mpaka leo waasi wa ISIS wana mafunzo na pesa zote walipata kwa USA na baadhi ya mataifa ya kiarabu yanayoifanyia kazi America....

ISIS iraq kunani? tawala ya Nuru Al maliki baada ya kusimikwa na USA amejikuta anapata sapport kubwa ya kifedha kwa IRAN (kwa kuwa ni mashia wenzake) so uhusuano wa serikali ya Iraq na America si mzuri sana kama na IRAN ndio maana kundi hili limehamia Iraq kuendesha harakati zake....

Kila kitu ni USA, sasa naamini hata uislam umeanzishwa na USA
 
so kinachoendelea ni POLITICAL DRAMAS the more nchi za kiarabu zitakuwa vitani...the more Safer life for STATE of Israel na Economic Interests za USA...as simple as that...

maengi unaweza kujifunza walivyomtumia Saddam Hussein na baadae wakamuondoa...na stori zinaendelea....

so watu wengi wako confused na mambo ya Middle East kwa kuwa mzizi wa matatizo hayo hawaujui...

CC: Elungata, FaizaFoxy, MZIMU justdoit...
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu ni USA, sasa naamini hata uislam umeanzishwa na USA

put foward your arguments...hapa nazungumzia politics za middle East not Uislamu...so for better understanding unaleta hoja mbadala if these are all lies...simple au unakuwa unajijaza uongo kinyume na hali halisi wa mambo
 
so kinachoendelea ni POLITICAL DRAMAS the more nchi za kiarabu zitakuwa vitani...the more Safer life for STATE of Israel na Economic Interests za USA...as simple as that...

maengi unaweza kujifunza walivyomtumia Saddam Hussein na baadae wakamuondoa...na stori zinaendelea....

so watu wengi wako confused na mambo ya Middle East kwa kuwa mzizi wa matatizo hayo hawaujui...

CC: Elungata, FaizaFoxy, MZIMU justdoit...

kashengo, no body can say it better. What u've said is true!
 
There is no other way ya kuwaelewesha baadhi ya watu bali ukweli hata kama atabishana nao ndio keshausikia...kinachobakia ni ubishi wa asili tu (tunauita ubishi wa kitoto) ila anaebishana na ukweli wa hali halisi ya mashariki ya kati ni aidha HAJUI KINACHOENDELEA kwa mapana yake na kihistoria au anaendeshwa na chuki zisizo na maana dhidi ya waarabu akijidanganya kuwa waarabu wote ni waislamu (huku kuna nduguze kule wakristo nao wanapata misoto).....

pamoja mkuu...hii ndio siasa ya dunia tuliyopo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom