'Who created God' is an Illogical Question!

You are not able to follow a discussion.

You cant quote me properly too?

You cant prove roho exists.

The only conclusive way to know that something exists is to prove that it does.
 

Charles Lyell ni mwanagiolojia na ndio alileta idea za Uniformitarianism na Sedimentology. Hakuhusika na Evolution lakini as geologists kwenye archaeological excavation wanashiriki katika kuchunguza miamba na layers ambazo archaeologists wana excavate.

James Hutton hakuwa mkulima by profession sijui tunapata wapi hizo taarifa ni geologists na ukulima ilikuwa kama sehemu ya life tu sio profession na alikuwa geologists na physician na anafahamika katika theory ya Uniformitarianism.

Wote hao walipinga idea ya Archibiship Usher aliyesema dunia ina miaka 4004 baada ya kanisa kufanya calculation za age kupitia generation chronology ya maandishi ya biblia kwa kuangalia miaka ya individuals na ku trace back genesis ilikuwa muda gani.

Nawaongeza kwa kuwa watafiti wa mwanzo kusema kuwa dunia ni older more than million of year, well its still accepted mpaka hivi leo.

Pia Charles Darwin sio founder wa Evolution pia Erasmus Darwin sio founder wa Evolution. Evolution ni ideo iliyoanza kuzungumziwa thousands of years before Darwin. Vedas from Hindus inasema all species evolves na hakuna species inayobaki permanently in appearance. Pia Vedas inasema kuna evolution of consciousness and species from one species to another.

Greeks na Romans kuna Lucretius aliyesema life must have evolves from simple to complex. Naye aliamini Evolution idea ya species kubadilika. Herodutus naye aliwahi kusema kuhusu evolution. Kuna scholar wa kiarabu jina lake nimesahau ndio alikuwa wa kwanza kuandika evolution of species katika documents zake 600AD lakini alipingwa,


The proposal that one type of organism could descend from another type goes back to some of the first pre-Socratic Greek philosophers, such as Anaximander and Empedocles.[32] Such proposals survived into Roman times. The poet and philosopher Lucretius followed Empedocles in his masterwork De rerum natura (On the Nature of Things).[33][34] In contrast to these materialistic views, Aristotle considered all natural things, not only living things, as being imperfect actualisations of different fixed natural possibilities, known as "forms," "ideas," or (in Latin translations) "species.

Source: History of evolutionary thought - Wikipedia

Lakini historia zao na maisha yao sio ya muhimu. Cha muhimu ni elimu waliyoshare ambayo inajibu maswali fulani katika uelewa. Ndio maana nikasena kama kuna mtu atakayejibu hayo maswali vyema bila evolution sitampinga.

Mimi ni archaeologist, nimeshika hiyo mifupa na karibu kila wiki ninadeal nayo Laboratory [emoji436] ni vigumu sana kuniambia evolution is a lie wakati ninaiona na ninaisoma to the deep katika level ya postgraduate (Masters to pHD).

Kama kuna logic inayoweza kujibu hayo maswali niliyouliza nakiri kuwa tayari kukubali kujifunza. Lakini kama hakuna logic nitaendelea kuikubali evolution. Pia simkosei mtu kwa sababu I am not a christian and I am not a muslim. Na my spiritual path inaunga mkono evolution. Hivyo sio kila imani ipo against evolution ni imani chache ndio zipo against it.

Nataka majibu yangu then I will accept whats right.
 
Umeandika vizuri.
Na pili nitaandaa thread ya Imagination na flaws ya hicho kipimo scientifically tujadili pia.

Ila mfano mdogo tu kwanza.
Kulingana na Gazeti la discovery mwaka 2006, wenzako waligundua mfupa wa Dainasour ambao kwa ndani ulikutwa na fresh blood cells. Kulingana na kipimo cha miaka tunaambiwa dainasours kwa mara ya mwisho kuwepo ni miaka 65 Million na kwa akili ndogo kabisa Haiwezekani miaka hiyo leo ukutane nadamu ya kitu kilichokufa miaka million 65 ioliyopita. Jamaa wakapanic na Kuanza kubisha.

Tukianza kuprove the AGEMETER yenu ndio chanzo cha Upotofu na ukiiprove wrong hiyo utakuwa umeua hii discussion.
Mfano Mzur, Kuna jamaa walikuta ndoana(Fishing reel) ndani ya Mwamba au jiwe dogo. Wakalipima likaonekana linamiaka 300MIllioni wakati patent ya kwanza ya FIshing reel ilikwa ni 1874. Fuatilia the reel in the rock.
WOte waliishia kubisha na uhalisia. Mkuu nitapitapita hapa kwa kadili nitakapopata nafasi.


NImekutajia hao watu uliowachambua kana kwamba unawajua sana, Kwa sababu ndio founder wa grobal movement wa evolution na related stuffs ikiwepo hiyo theory ya lyell ambayo pia ni expansion ya ideas za mjerumani George Cuvier na mwingereza William smith. Hiyo ya miaka ya zamani ni sawa na mababu wetu wa miaka ya zamani walivyokuwa wanaamini kuwa Kila mwaka lazima utooe kafara mtu ili mvua inyeshe. Wangekuwa na Influence wangetawala dunia nzima kama hao wakina darwin. Ni UPOTOFU UNAOJIPENDEKEZA KWENYE SCIENCE WAKATI HIZO IMANI HAZINA TOFAUTI NA MILA POTOFU ZA VIJIJINI KWETU. Tunashida na hawa watu niliwataja maana kupitia hao wewe na wengine wengi wenda mnekubwa na matatizo. Na Their theories are emphasized as facts in all areas of life movies,schools, universities some churches, etc
 

Hiyo nina uhakika haikubaliki fact yake 100% kwa sababu sio paradigm zote za sayansi zinatazama hivyo. Pia kuna story ya Talud man na Ice man aliyepatikana siberia akiwa fresh lakini haikuwa fresh kama real fresh japokiwa preservation yake ni kwenye ice. Hiyo haiwezekani kuwa completely fresh.

Unajua body ya sayansi huwezi kuipa criticism kwa kutumia research result za research project moja au za watu fulani. Tusikosee kufanya generalization. Science ni kubwa na kuna concepts na paradigms nyingi.

Pia hao ni waanzilishi wa baadhi ideas ambazo zinajenga body of knowledge.

Tuepuke generalization tunapoweka deductive au inductive arguments ni vyema kuepuka errors.

All I want to know ni kuwa, kama evolution is a lie, then what can se use to answer those questions? And how?


Pia nimeona hiyo related topic ndio najaribu kuisoma. Lakini inasema haikuwa fresh bali mabaki ya blood cell ndio yanaonekana kwenye microscope. Ila sio fresh!

Scientists break 75-million-year-old dinosaur fossils and find blood cells
 
Hapo ndipo ulipopaona.... if they real think about God. Tusingewaona wote wakibehave the same... yaani wangekuwa wastaarabu na wasingepigana wakati wa chakula... kwasababu sio sifa tunazoambiwa ni za Kimungu...Mungu hawezi kuwa double standards.
Mbona kuna watu wengi tu wanaamini katika Mungu na hawakichi kuuana?
 
Mtu atakataa ukweli huu kwa sababu hataki tu kuuelewa au hoja yake ishinde.
 
Its so surprising that we always expect God to do the ordinary ! No wonder we do not trust some aspects of our existence for instance the Freemasonry etc.God exists as a supernatural power .Nobody can doubt this....!
 
Usimuogope mtu kuwa huru katika mawazo yako,ushasema hutaki kuamini unataka kuelewa.

Hata mfano wako wa jinsia yako kutaka kufanya ni suala la imani,inaonesha wazi unalazimisha tu kitu ambacho hukubaliani nacho.
 
Nishakwambia kuwa kusema kwako kuwa huna tatizo na imani haina maana kuwa ni kweli huna tatizo na imani.

Unaposema huipi nafasi sana imani unakuwa na maana gani ikiwa kweli unakubali kuwa kuna imani sahihi na potofu?
 
Usimuogope mtu kuwa huru katika mawazo yako,ushasema hutaki kuamini unataka kuelewa.

Hata mfano wako wa jinsia yako kutaka kufanya ni suala la imani,inaonesha wazi unalazimisha tu kitu ambacho hukubaliani nacho.
Nimemwogopa nani?

Umejuwaje sipo huru?

Jambo gani ninalolazimisha?
 
Safi sana mkuu, wanaotaka kujua Mwanzo Wa Mungu, wajue kwamba Mungu Hana mwanzo na mwisho, Kama hawataki, watueleze namba zimeanzia ngapi na mwisho ni ngapi.
 
Nimemwogopa nani?

Umejuwaje sipo huru?

Jambo gani ninalolazimisha?
Unaye muogopa unamjua mwenyewe vizuri.

Nimejua haupo huru baada ya kutaka kujaribu kugeuza ulichokisema mwanzoni kuwa hutaki kuamini unataka kuelewa.

Unalazimisha nawe pia kuonekana huna tatizo na imani(ni tofauti na mwanzo) kwa kutoa mfano ambao hausiani na imani.
 
Ninaye muogopa ni nani hasa? ebu mtaje.

Msimamo wangu upo pale pale kuwa kuelewa ni muhimu kuliko kuamini, na kama tutaamini basi imani itanguliwe na uelewa.

Mimi nina imani nyingi sana, imani ambazo nimezijenga juu ya uelewa.Uelewa una nguvu kuliko imani, lakini imani yaweza kuongeza nguvu juu ya uelewa, swali:Imani ya namna gani? imani potofu? hapana!...Ni imani yenye macho, inayotanguliwa na uelewa....Imani inatakiwa kutupa nguvu ya kuukubali ukweli unaotokana na uelewa.
 
Charles Lyell ni british lawyer How can a lawyer write a reliable geologist book.
Lyell was one of the first to believe that the world is older than 300 million years, on the basis of its geological anomalies. He was a close friend of Charles Darwin, and contributed significantly to Darwin's thinking on the processes involved in evolution. He helped to arrange the simultaneous publication in 1858 of papers by Darwin and Alfred Russel Wallace on natural selection, despite his personal religious qualms about the theory. He later published evidence from geology of the time man had existed on Earth.
Charles Lyell - Wikipedia
Pitia kidogo history yake. Kabla ya hapo dunia ya kitambo hicho waliamini katika creation(6000 Years old and not Millions) hasa western ambao ndio wanaendelea kuguess miaka ya dunia walianza na million 300 leo ni Billion 4.6 .

Sio sawa kusema hausiki na EVOLUTION. Pitio Biography yake wikipidea

Nawaongeza kwa kuwa watafiti wa mwanzo kusema kuwa dunia ni older more than million of year, well its still accepted mpaka hivi leo.
Hii sentensi inavurugwa kabisa na ukweli kwamba orgin ya evolution (cosmic evolution) illiyosadikiwa kuanza na BING BANG iliferi maana haiwi supported na any theory of physics and th.....
 
Mwanzo ulisema hutaki kuamini bali unataka kuelewa,ina maana kuna tofauti ya kuamini na kuelewa na ndiyo maana ukasema hutaki kuamini bali unataka kujua.

Ila sasa unageuka tena maana kama toka mwanzo ungekuwa unajua kuhusu imani sahihi na potofu basi usingesema hutaki kuamini.
 
Nishakwambia kuwa kusema kwako kuwa huna tatizo na imani haina maana kuwa ni kweli huna tatizo na imani.

Unaposema huipi nafasi sana imani unakuwa na maana gani ikiwa kweli unakubali kuwa kuna imani sahihi na potofu?
Sawa,

Kama wewe kusema kwamba Mungu yupo hakuna maana kwamba Mungu yupo.

Kitu muhimu ni ku prove unachosema.

Mimi nishaprove sina tatizo na imani, hata kukujibu post tu natumia imani. Maana internet connection inaweza kukatika kabla sijamaliza ku type, JF servers zinaweza ku crash, mod wanaweza kuwa wamenipiga ban, Magufuli anaweza kuagiza IP address yangu iwe banned etc.

Lakini naamini yote hayo hayatatokea, naamini post itakuwa posted. Napost.

Ukiiona na kuijibu hii post maana yake nina imani na imani yangu ime kuwa rational.

Nime prove kwamba sina tatizo na imani. Naitumia imani.

Naweza kuwa na tatizo na watu wenye imani potofu wanaokuja hapa JF kuhubiri au kutetea imani hizo potofu.

Wewe kwa upande wako, umesema Mungu yupo na hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Nimekuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…