mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
RwandAir wana ndege ngapi kwa sasa? Njooni Tanzania mfaidi Demokrasia na umasikini wake juu.
Wenzenu tunagombani FITO ili kupeperusha bendera na siyo kujenga nchi. Mwisho tunadundana mawe....
![]()
![]()
aksante Mkuu! hizo demokrasia za kizushi zikiambatanishwa na chuki, zilipelekea watu wetu million 1 kuuwawa eti kwa sababu "majority rules" yaani miafrica inafikiria eti democracy ni kujiamlia lolote atakalo, jMali sasa sijui sheria zinatungwa kwa nini kama kila kitu ni ruksa? really democracy comes with responsibilities and accountability Cc: jMali, MOTOCHINI, JustDoItNow, bona