‘Who are you’ naona wanaume wakikutaka. Endelea kujichomeka

Mkuu taarifa yako ulibahatishaga moja tu ya Gwajiboy kuhutubia, baada ya hapo unagonga nje ya key kila mara
 
Mkuu taarifa yako ulibahatishaga moja tu ya Gwajiboy kuhutubia, baada ya hapo unagonga nje ya key kila mara
Huyo jamaa kaongea mengi Sana ya ukweli. Watu hawakujua tu.
 
Hivi jeshi lake la ulinzi waliku hawapo au?

hilo swali hata mimi bado najiuliza, enzi za H.Polepole live alikuwa anatuhadithia jinsi raisi anavyolindwa, alisema pamoja na mengine mengi kwamba raisi akilala na mwenzi wake bodyguard yuko nje ya mlango anasubiria, sasa maduro kakamatwa akiwa chumbani na mke wake, hao walinzi walipitwa vp? ...
 
Wahuni sio watu. Wajua hali haitabiriki. Wameandaa mpango wa kumtelekeza mateka wao. Tayari ajua ameingia kwenye kumi na nane za wahuni. Hajui atokeje. Walahi hii mambo hii yachekesha. Na bado
Walikuwa wameficha bomu kwenye boksa
 
I wander😀😀😀
 
Alikua kambi kubwa kuliko zote za jeshi Venezuela, milango ilikua blastproof..kwamba huwez kufungua hata kwa kulipua...hatujui nini kilitokea hadi CIA wafanye declassification
 
Alikua kambi kubwa kuliko zote za jeshi Venezuela, milango ilikua blastproof..kwamba huwez kufungua hata kwa kulipua...hatujui nini kilitokea hadi CIA wafanye declassification
Na hamtokaa mjue kamwe,

Labda wao ndo waseme walifanyaje fanyaje.
 
(Mathayo 26:52)

Aushikaye upanga, ataangamia kwa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…