hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Wasalaam,
Nianze kwa kusema hata hapa jamvini tunao watu wengi wenye uelewa mkubwa na uchambuzi mzuri lakini leo nilikuwa ninafikiria/swali;
"Who could be/are most knowledgeable people in the world"?
Kuna kuwa na maarifa, na kuwa na ufahamu..ikiwa maarifa yanatokana zaidi na kupata elimu(hasa ya kishule..Formal education), na ufahamu kupata kupiria ekinu ya kishule na uzoefu wa kimaisha.
Hivyo kwa kutegemea aina ya kazi, umri, na pengine uzoefu mbalimbali wa maisha watu wanaweza kuwa na ufahamu mkubwa wa mambo mbalimbali (very knowledgeable).
Mtazamo wangu Novelist/Authors are most knowledgeable in the World. Kwa sababu wengi wanapotaka kuandika kitabu, hufanya utafiti/tafiti mbalimbali...mfano kujua kwa undani mahali fulani, elimu juu ya fani fulani mfano uhandisi, utabibu, useremala, ubaharia, uanamitindo, uaskari/upolisi n.k ingawaje wao wenyewe wanaweza wasiwe wa fani husika!
Unavyodhani, ni nani na kwa unadhani watu hawa wana ufahamu mkubwa kukiko wengine?..Mtazamo