Who am I / Mimi ni nani?

Ila huyu Bujibuji Simba Nyamaume usimzuie mwache aniite atakavyo...nahisi nimeanza kumpenda kweli kweli....nasubiri kibubu kijae nikampose....naogopa nikisubiri yeye nitampoteza😂😂🙊
 
😂😂😂 usiseme ivo bhana....usituzoom tafadhali...mbona wewe uliposema unaoa nilitia neno la baraka jamani❤
Hahaha kuwazoom kwangu,namuazima awe na wewe Kwa mda Tu halafu I will take you back my love
 
Mwenyewe unajiona umepitia changamoto,mie nikiweka zangu hapa utafuta uzi wako,maana hizi zako ni trela tu
 
Asante mkuu

Upo sahihi Sana,huwa tunapenda watu wengine wafurahi kuliko nafsi zetu kitu ambacho ni ubinadamu ingawa kuna wapuuzi wachache wanaweza kutake hiyo advantage.

Kikubwa ni kuwa na mipaka mtu akivuka huo mpaka unaonyesha msimamo wako.

Hapana siwezi kutengeneza mazingira hayo coz huwa sipend stress, ndio maana nawasifu Sana hawa wanao dukua Simu za wenza wao.

Huwa naamini kama kutakuwa na habar mbaya nitakuja kuipata tu
 
Level of humanity Iko juu sana
 
Unaishi maisha mazuri sana.Ambayo napenda kuyaishi.
ni kutokuwa na matarajio makubwa kuelekea wengine. hii inasaidia hata return inapokuwa tofauti kutokujali.

Ukiishi hivi unakuwa na amani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…