Mwalimu gfsonwin hasa kipindi hiki kwa taifa letu la Tanzania ni changamoto kwetu sisi sio wakatoliki tu pia wakristu wote wa madhehebu mengine kuwa kitu kimoja na kukemea matendo wa watu wachache wakiwemo viongozi wanao nemesha dhamira zao za kisiasa na kiuchumi kwa mgongo wa dini.Kuna mashirika ya umma mawili hapa nchi kuwa mkristo ni kosa kubwa,kuna dada namfahamu amelishwa sumu siku ya maandamano ya siku ya wanawake kisa tu mkristu ambae hawezi kutolewa kwenye hiyo nafasi kwani ni qualified na compitent,hapo ndipo tulipofikia kama taifa,it si very sad indeed.
Mtaani wangu snowhite na FP tusherehekee kupata Papa mpya kwa kuendelea kufunga kwaresma na kutenda mema pia.Dada Kaunga najua kwaresma ipo