While ya software dev


Mkuu na mimi pia nimesoma degree ya computer science pamoja na kufanya kazi kwenye kampuni kubwa, na nakwambia hayo uliyoandika hapo yote ni same thing. Hizi terminologies kampuni nyingine ndio wanajaribu kuzitofautisha tu ila these people all do the same thing na wamesoma kitu kilekile.

Kusema software engineer anatafuta efficient algorithms, kwani programmer au developer hafikirii hilo? Kwenye uandishi wa software siku zote anayeandika software ndiye anayechagua atumie algorithm ipi au datastructure ipi, hata kama anatumia API iliyotengenezwa na mwingine bado anafanya kitu kilekile ambacho ni kutengeneza software, huwezi kukaa ukasema wewe ni developer kwa hiyo kabla hujatumia HashMap uende kumuuliza Software Engineer kua hapa nitumie HashMap au ArrayList, hehe hiyo ni decision you have to think mwenyewe na kucome up na solution ambayo unafikiria its best for that particular problem.

There's no such thing as SE ni better code than Programmer au Developer kwa kua once again wote ni mtu yuleyule. Na level of education haimuweki mtu kwenye group flani, ni either unajua kutengeneza software au hujui basi. Kampuni hasa hizi kubwa zikiwa zinaajiri, either wataangalia umesoma any CS related program kama wanatafuta developer/programmer/software engineer (same thing) au kama hujasoma then wanaangalia experience.
Yaani labda ungetofautisha hardware/systems engineer, software engineer, game developer, hapo ningekuelewa. Ila term software engineer/programmer/developer ni kitu kilekile just different words

Watu wanaokaa kufikiria new algorithms za kusolve specific problem hao ni scientists tofauti kabisa, mfano kuna Data Scientists, hawa wanatafuta effiient ways za kuhandle huge amounts of data, mfano wanaoshughulikia Search, mostly wamejifunza Data Mining au Machine learning techniques na lazima mtu awe good in statistics. Fikiria mtu anayecome up with an algorithm like PageRank au HITS, hawa kampuni inawaajiri wanakaa kufanya research.

Ila mwisho nimalizie kua its my opinion, hata kwenye internet hii mada imekua ni ubishi tu, kila mtu anasema ya kwake. Pitia Quora au hata sites nyingine utakutana na same question different answers.
 
Mkuu Graph bongo hakuna Large S/W firm. Zipo za kati tu. NNi maoni yangu tu.
 
Wachache waliokatika hii field hawaitetei kutosha, ndio maana waajiri wanawaamini sana wahindi ila if we step up this can change
 
Nilikwenda kampuni flani nikiwa mgeni nikakuta wamewapa tenda ya kutengeneza system flani wahindi flani na wako stage za mwisho wanafanya testing tu. Sasa mimi niliajiriwa pale kwa kazi maalum tulikuwa na mkataba na google wa kuwapa data flani na zitoke ktk ile system. Nikawapa specification wahindi wa pull zile data ktk hiyo format jamaa walishindwa wakaniambia sisi tunajua kutengeneza hii tu na visual designs, ikabidi niangalie architecture ya hiyo system yao nikapiga code nikavuta mzigo wa google. Nikatengeneza kama module special ya kufanya hiyo kazi. Niliheshimika sana na Mkurugenzi mtendaji kisha salary ikapanda double. Kwa hivyo tupigeni kazi ikionekana juhudi/ujuzi wetu tutathaminiwa tu.
 
Just two cents over here..
A lot of brilliant ideas have been mentioned over here.

Your problem is "Challenge of getting anything done on my own".

Try to understand where your interest lies.

Then find an open source project such as KDE, GNOME and many other open source projects, then learn the code base. After understanding it try to help with something very little such as translations ( to understand how to contribute in OO projects) then after getting used to the code base.
Fold your sleeves, and get your hands dirty by submitting patches.
INMHO, books will never help you design a real system, then Open Source projects might be your best option if it coding you really love.

Best of Luck..!!
 
I totally agree with you mkuu. Your suggestion will help so many people in this field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…