Wadau, nafikiri mada za aina hii, tungeachana nazo, sidhani kama ni wakati mzuri kwetu kuanza kujadiri maswala ya ukabira, hii siyo kawaida yetu jamani. ila ni bora kila moja wetu akajivunia kabila lake maana wewe ni wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe. after all makabira yetu yamechanganyikana ndo maana leo jaijalishi kuona watu wanaoana kutoka kabila moja kwenda jingine