OnlineFinancial
Senior Member
- Aug 23, 2017
- 117
- 97
Django ni framework ya pythonSorry, Hvo ndio vinini mkuu?
Shukrani mkuu, je naweza kutumia Laravel kwenye wordpress??Kwa bongo laravel wanaitumia watu wengi kuliko django. Hii ni kutokana na community ya developers niliowahi kukutana nao au kufanya project moja.
Yes you can.Shukrani mkuu, je naweza kutumia Laravel kwenye wordpress??
Thank you mkuuYes you can.
Fuata hii link upate mahali pa kuanzia
How to use WordPress as a backend for a Laravel Application - Laravel News
Ni kweli local host wengi wanapendelea php ila nilikua nawaangalia heroku, digital ocean hata hostgator naona wana support django...Kwanza tofauti ya Laravel na Django ni
Laravel:
Ni frame work inayotumia PHP Programming language
Django:
Inatumia Python Programming language
Kampuni nyingi zinazo host web hasa hizi local wanapendelea sana PHP engine na Apache Server.
Naomba ni2mie doc(tutorial) itakayoniwezesha kufungua website. AsanteDjango ni framework ya python
Laravel ni framework ya PHP!
Zinatumika kutengeneza websites!
Hizi ni baadhi ya computer languages zinazo kuwezesha wewe kuingia na ku access data katika website fulani na kuna uwezekano pia zimekuwezesha wewe kuingia hapa JF!!
Sizani kama nimelipata vizuri swali lako ila kama unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza websites basi ni vyema ukaanza kujifunza haya...hii ni option ya kwanza...Naomba ni2mie doc(tutorial) itakayoniwezesha kufungua website. Asante