Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,576
- 1,395
Kumekuwa na katabia fulani ka kusubiri flagship zilizotolewa miaka 2 au 3 nyuma zishuke bei zifikie bei ambayo ni affordable ndipo mtu anunue.
Hili linakuja na changomoto kadhaa.
Kwa mfano flagships za miaka 2/3 nyuma kwa asilimia kubwa zinakuwa used mfano samsung s10 au note 10, note 9 na kwa maana hiyo unakuta zina defect fulani fulani mfano battery kuwa na uwezo kidogo, simu kuwa refurblished n.k jambo ambalo linafanya baadhi ya watu waone kwamba midrange za sasa kama hizi samsung A32, A52, au redmi serries ni bora zaidi kuliko flagship za miaka ya nyuma.
Kwa upande mwingine flagship hizi za miaka ya nyuma zina mwonekano mzuri na features zake nyingi ni premium.
Sasa naomba tujadiliane na kushauriana kuhusu maduka yanayouza used phones genuine lakini pia kuhusu ukweli wa jambo lenyewe.