Ndugu yangu kazi sikuhizi ngumu kupata wakati elimu yenyewe tunakopeshwa alafu wanatudai. mpaka baba / mama / kaka / jamaa / dada yako awe mbunge au waziri au muhishi-miwa ndo upate kazi kiulaini la sivyo ununue na mpaka uje kumpata huyo wa kuku uzia ujue hali imeshakuwa mbaya. na hela atakayo itaka pia atakukomoa ili ushindwe.