Hii movie kama una mtandao wa kudownload wa utorrent ukiitafuta hiyo movie unaipata kama huna tafuta wataalamu wa IT watakusaidia upate hiyo program utakuwa una download movie unavyotaka..ni uchumi wako tu wa kuweza kununua mb kwenye mitandao kwaajili ya mahitaji yako. Kingine mkuu kuhusiana na resource nakuunga mkono...lakini mimi sio shushushu na sipendi kuwa shushushu japo kuwa zamani nilifikiri ni big deal...sasa hivi I have other things in my mind kuliko kukaa nafuatilia watu wengine au kutaka watu waniogope au waniabudu.Kitu ninachofikiri kinachowafanya hawa jamaa wa Paistan wawe effective ni UNIQUE techniques zao za kufuatilia jambo.Hebu tafuta hiyo movie kwanza uiangalie halaf tutaendelea kuongea..