Which airport is this?

Hiyo Gibrattar International Airport,
Runway yake inakatiza katikati ya mji na inatumika na magari pia.
Ingia google na hilo jina for more details and pictures.

!
!
Nimegugo Huo Uwanja Unaosema Seems Uko Town Mno. Mazingira Ya Hii Ya Kwenye Uzi Ni Tofauti Mno. Ni Maoni Yangu Tu
 
Hiyo Gibrattar International Airport,
Runway yake inakatiza katikati ya mji na inatumika na magari pia.
Ingia google na hilo jina for more details and pictures.
Gib inakatiza four-lane road.
 
Hi ni china ila jina la airport nimesahau
 
Hapo ni Schiphol

Hapo ni kwa wavivu wa kufikiri na kuishia kusema photoshop

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…