Which airport is this?

I wish to know which airport is it....

My mind tell me that there's an eye trick....

Those trees.... plane wings... hata upepo wa movement ya ndege hauonekani kwenye hiyo miti japo inaonesha kuna baridi sana....

Wherever the place is...... I'd like to visit...
 
Adobe.. kwa usawa wa ndege ulipo na hali ya hewa... huo mngao kama wa jua haukistahili kuwepo....!
 
Adobe.. kwa usawa wa ndege ulipo na hali ya hewa... huo mngao kama wa jua haukistahili kuwepo....!
Halafu chini kuna watu wamesimama wakat hilo dude likikatza vichwan mwao sentimita chacheee
 
Hiyo Gibrattar International Airport,
Runway yake inakatiza katikati ya mji na inatumika na magari pia.
Ingia google na hilo jina for more details and pictures.
 
Na hilo dude kabla lipae linahitaji kutembea zaidi ya 700km/hr
Sio kweli. Take off speed ya ndege kubwa ni kama 130-155knots au 150-180mph.
700kph ni cruising speed ndege ikishafika juu around 30,000ft
 
photoshop, ndege ikiwa level hiyo matairi yanakuwa bado yanaelea chini, ila hapo hayaonekani
Zoom hio picha, matairi yanaonekana usawa wa gari ya silver. Hio picha ni kweli hio ndege inatua pembeni ya gari ya silver. Fence ya airport inaonekana hapo.
 
Zoom hio picha, matairi yanaonekana usawa wa gari ya silver. Hio picha ni kweli hio ndege inatua pembeni ya gari ya silver. Fence ya airport inaonekana hapo.
Yawezekana, changamoto ya kuamini ni hiyo miti na mbawa za ndege.
Natumia simu labda sioni vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…