Mr. SADC_TZ
Senior Member
- Nov 7, 2014
- 105
- 22
kwa afrika hiyo itakuwa ngumu kwa sababu karibu nchi zote ziligawanywa vipande vipande na wazungu hivyo hakuna nchi ambayo raia wake ni wa kabila moja. maybe somalia peke yake
Hata kwenu, kabila ni moja! lugha moja! zinginezo ni Burundi na Somalia. na kama huamini niambie kabila lako na lugha yenu? najuwa misumu yako itasema ooh mimi mhutu(mwenye msimamo mkali) ok, lugha yenu je? utasema ni kihutu au kinyarwanda? basi kama ni kinyarwanda kaa ukijuwa ya kwamba kabila lako ni mnyarwanda, mpaka leo sijawahi kuona kabila halina lugha yake binafsi.
Swaziland=Swazi (spoken by 95 % of citizens, National Language)
Lesotho = Sotho (spoken by 96 % of citizens, National Language)
Tanzania =Sukuma/Nyamwezi (spoken by 50 % of citizens, National Language for Lake Zone)

Mama rejea kichwa cha thread, tunaongelea NATIONAL LANGUAGE, sio language spoken by the major tribe, kisukuma na kinyamwezi sio national language ya Tanzania.

Rejea andiko langu, nimesema with a light touch, kisukuma na kinyamwezi (to be more specific: Kimbu, Konongo, Nyamwezi, Sukuma, and Sumbwa) ni National Language ya Lake Zone. Kumbuka makabila haya kwa ujumla wake ni karibu 25 % ya Watanzania. Unafikiri idadi hiyo ni mchezo!!
Kuna namna mbili hapa...
Native Language ni "lugha ya Mama yako"..means uliyoikuta nyumbani kwenu kwenye familia yenu ulipozaliwa...kwa maana hiyo leo hii ata Kifaransa kinaweza kuwa ni native language ya Wa-Ivory Coast na Kiingereza kinaweza kuwa native language ya Msouth Africa na kama Kiswahili kinavyoweza kuwa native language ya Msukuma, hakuna tofauti hapo.
Lakini kama "native language" unamaanisha lugha ya jadi ya eneo husika, ethnic language, basi pia Kiswahili sio lugha ya asili ya kabila lolote la Kitanzania, Tanzania ina makabila 120 na makabila hayo yote yana lugha zao na sio Kiswahili, kama lipo kabila ambalo lugha yake ni Kiswahili nitafurahi kulijua.
Swahili tribe sio kabila kwa maana ya kama ilivyo kwa Wakikuyu au Wasukuma, bali ni kama ilivyo Watanzania leo, "kundi nla watu wanaoongea Kiswahili kama lugha yao ya kwanza".Kenya kunao waswahili, nilidhani pia wanapatikana Tanzania, lugha yao ni kiswahili
Haa ha ha...ameikumbuka lugha yake bana...Mama Mdogo umeolewa?
Kuna namna mbili hapa...
Native Language ni "lugha ya Mama yako"..means uliyoikuta nyumbani kwenu kwenye familia yenu ulipozaliwa...kwa maana hiyo leo hii ata Kifaransa kinaweza kuwa ni native language ya Wa-Ivory Coast na Kiingereza kinaweza kuwa native language ya Msouth Africa na kama Kiswahili kinavyoweza kuwa native language ya Msukuma, hakuna tofauti hapo.
Lakini kama "native language" unamaanisha lugha ya jadi ya eneo husika, ethnic language, basi pia Kiswahili sio lugha ya asili ya kabila lolote la Kitanzania, Tanzania ina makabila 120 na makabila hayo yote yana lugha zao na sio Kiswahili, kama lipo kabila ambalo lugha yake ni Kiswahili nitafurahi kulijua.
Swaziland=Swazi (spoken by 95 % of citizens, National Language)
Lesotho = Sotho (spoken by 96 % of citizens, National Language)
Tanzania =Sukuma/Nyamwezi (spoken by 50 % of citizens, National Language for Lake Zone)
Mama Mdogo umeolewa?
Happily married with children!!