G Gooodwin Member Joined Sep 22, 2016 Posts 78 Reaction score 66 Aug 6, 2019 #1 Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu. Attachments Screenshot_20190806-163731_WhatsApp.jpg 48.4 KB · Views: 32 Screenshot_20190806-163703_WhatsApp.jpg 71.3 KB · Views: 34
Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu.
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,141 Reaction score 20,319 Aug 6, 2019 #2 Gooodwin said: Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu. Click to expand... Hii kitu naona inapata wafuasi kadri siku zinavyoenda vipi haina madhara.. tuitumie na vipi bei yake? Maana kila mwanaume rijali anapenda awe mbavu nene kuna raha yake ukivaa nguo inakaa Mahalia pale..
Gooodwin said: Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu. Click to expand... Hii kitu naona inapata wafuasi kadri siku zinavyoenda vipi haina madhara.. tuitumie na vipi bei yake? Maana kila mwanaume rijali anapenda awe mbavu nene kuna raha yake ukivaa nguo inakaa Mahalia pale..
G Gooodwin Member Joined Sep 22, 2016 Posts 78 Reaction score 66 Aug 7, 2019 Thread starter #3 Pips Man said: Hii kitu naona inapata wafuasi kadri siku zinavyoenda vipi haina madhara.. tuitumie na vipi bei yake? Maana kila mwanaume rijali anapenda awe mbavu nene kuna raha yake ukivaa nguo inakaa Mahalia pale.. Click to expand... Zote 180,000/=
Pips Man said: Hii kitu naona inapata wafuasi kadri siku zinavyoenda vipi haina madhara.. tuitumie na vipi bei yake? Maana kila mwanaume rijali anapenda awe mbavu nene kuna raha yake ukivaa nguo inakaa Mahalia pale.. Click to expand... Zote 180,000/=
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,623 Reaction score 9,298 Aug 7, 2019 #4 Gooodwin said: Zote 180,000/= Click to expand... Umelipia tangazo mkuu?
Collins Munuo Member Joined Jul 29, 2021 Posts 10 Reaction score 6 Jul 16, 2022 #5 Tupeni taarifa jaman kama inafaa kwa kijana
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,747 Reaction score 136,428 Jul 16, 2022 #6 I Unataka uwe kama chipo kidali Ova