Kaka mimi utalipia tu bwashee , nimetumwa ujue๐ ๐raraa reree natumaini u mzima mkuu na uko around maana dimbani umekuwa hadimu.
Tumebaki na min -me anatu gharamisha 500 kwa kila like moja๐๐ wakati za kwako zilikuwa bure kabisa
Pia CONTROLA mzee wa businessyupo wapi dronedrake ? Poor Brain amemteka
Huyu jamaa ndiyo sababu ya mimi kuijuwa jf, yaani ilikuwa niki search Google juu ya maswala ya biashara lazima waniletee. ( CONTROLA .... Jamii forums)Pia CONTROLA mzee wa business
Amejikita kwenye ile ID yake nyingine inayoitwa leo dada. Mnatakiwa mtambue ya kuwa kutumia ID's mbili at once ni kitu kigumu sana.raraa reree natumaini u mzima mkuu na uko around maana dimbani umekuwa hadimu.
Tumebaki na min -me anatu gharamisha 500 kwa kila like moja๐๐ wakati za kwako zilikuwa bure kabisa
Moja ya AI wa JF.Ndio nani huyo kwa sisi wageni humu JF