Where is Selemani Kova

Where is Selemani Kova

Joined
Jan 5, 2026
Posts
6
Reaction score
8
hq720.jpg
 
Yupo kwake mbweni. Ila pia ni consultant wa mambo ya Organization Security and investigation amejiajiri kwa upande huo.

Alisumbua nyakati.za JK kova. Kafanana sana na shetta wana unasaba
Vipi ile kesi yake na Nzowa kugombea ilokuwa nyumba ya serikali Arusha.

Mazee wamevutana mahakamani tangu 2002 hadi Kova alipoanza kumshughulikia Nzowa.
 
Yupo kwake mbweni. Ila pia ni consultant wa mambo ya Organization Security and investigation amejiajiri kwa upande huo.

Alisumbua nyakati.za JK kova. Kafanana sana na shetta wana unasaba
Itakua SHETTA anamwita kova dingi mdogo..

Wamefanana sana MACHO just joking 😁 😃
 
Sheta naona baada ya mama yako kudanganywa kuwa baba yako halisi ni Suleman Kova umeshaanza kumsaka kwa udi na uvumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom