Where is freedom of expression?: Mkenya akamatwa kwa sababu ya kutumia uhuru wake wa kujiekeza kuhusu Corona

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

====
Every freedom and right granted by the law comes with a responsibility.

This is the immemorial rule of the law in all countries and territories that believe in respecting the rule of law.

In Kenya, like many other States the freedoms of expression, speech , media, access of information and interaction are covered in the supreme law.

In Kenya the freedom of expression/speech and media, and access to information are enshrined in Articles 33, 34, and 35.

These laws give citizens liberty to express their opinions, views, seek information and get informed through media reports.

Fundamentally, these freedoms make democracy pragmatic and their abuse, either by law enforcers and citizens could get the State in a state of chaos.

Since the outbreak of coronavirus, there have been many cases of misinformation and disinformation which are basically spreading false information without a bad intention and with a bad intention/maliciously respectively.

In Kenya for example, since the first case of COVID-19 was reported on Friday, March 13, there have been a lot of conflicting information spreading, living citizens in dilemma of choosing what is true and what needed to be ignored and trashed as false.

Immediately after Ministry of Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe announced the first case of a Kenyan having contracted the virus, many other conflicting information poking holes at the government's official position began to spread.

The CS described the woman as a 27-year-old who had traveled to the country from US through London, saying she lived alone but had came to contact with people she helped the State to trace.

One notable conflicting report from the public was a video from a woman who claimed she had traveled to the country from abroad.

In the video that went viral, the woman reiterated she was not the one identified by the government, begging the question who had in the first place said she was the one.

The government did not disclose explicit identification details of the woman owing to the right to confidentiality of a patients identity according to the Health Act.

The video made many Kenyans, who did not take time to verify the authenticity of the video to begin hitting out at the government for allegedly giving false details about COVID-19. The latter is not true.

"Since the UN said it will give some money to countries affected by coronavirus, Kenya has immediately recorded one case. Do you think what I am thinking" said one Kenyan who responded to the video posted on Twitter.

Another notable conflicting piece of information, was by @eozillexis6 @Hof elias who claimed on Twitter that the government had lied about the coronavirus case in Kenya.

"The government has lied to us. The said lady ..... came from Rome boarded on this plane. I am a staff at KQ. Guys they are lying," Hof eliastweeted.

This information brought the government in disrepute and caused panic among Kenyans.

This means the message flouted the freedom expression. The limits of the constitutional provision was stretched by the Kenyan, thereby breaking another equally important law of the land.

The Directorate of Criminal Investigations (DCI) swiftly traced the propagator of the malicious information and identified him as Elijah Muthui Kitony, 23.

The youth was arrested in Mwingi, Kitui county and will be charged with publishing misleading and alarming information, specifically on coronavirus.

"He will be charged for publishing false information that is calculated or results in panic contrary to section 23 of the Computer Misuse and Cyber Crimes Act of 2018. We urge members of the public to be responsible and to desist from authoring, publishing or sharing unconfirmed information that may cause panic and anxiety," DCI tweeted.

According to the Act, a person who knowingly publishes information that is false in print, broadcast, data or over a computer system, that is calculated or results in panic, chaos, or violence among citizens of the Republic, or which is likely to discredit the reputation of a person commits an offence.

The law indicates that if convicted, a suspect shall be liable to a fine not exceeding KSh 5 million or to imprisonment for a term not exceeding ten years, or to both.

Even as Muthui enjoyed his right to freedom of expression, he could have likely broken another law thus missing out on his responsibility.

Ends

Source: Coronavirus in Kenya: Abuse of Freedom of Speech Mwingi Man in trouble for lying about disease

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina radha kama hujatoa maelezo ya kujitosheleza.
Wala hakuna cha kuponda hapo, hata kichwa cha taarifa kinajieleza wazi kwamba jamaa amekamatwa kwa kutumia vibaya uhuru wake wa kujieleza. Kwa kueneza uongo kuhusu uongo kuhusu ungonjwa na virusi vya Corona. Hapo nawapa hongera DCI kwa kujali na kulinda maisha ya wakenya. Tumeona watu wakisambaza uongo mwingi sana kuhusu Corona. Jambo ambalo ni hatari kwa maisha ya binadamu na jitahada za serikali kwenye vita dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo.
 
Sasa nani mwenye kuamua kama ni uongo?. Lakini nchi zingine zikikamata waandishi wa habari kwa kutumia sababu hizo hizo za kutumia uhuru wao vibaya na kusambaza uongo, mnasema hakuna uhuru wa habari. Hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua hiyo link ujisomee mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujawapa tafsiri kwa kiswahili, ama umeona kwamba utajiabisha bure? Jamaa hajalimbikiziwa kesi ya kuhujumu uchumi. DCI wametaja wazi kifungu ambacho wametumiwa kumfungulia kesi. Kwenye haki ya kujieleza kikatiba kuna 'limitations' pia. Ikiwa ni pamoja na kutumia uhuru wako wa kujieleza kusababisha panic na taharuki kwa raia wenzako. Kama anavotuhumiwa kufanya huyo mshukiwa.
 
Sasa nani mwenye kuamua kama ni uongo?. Lakini nchi zingine zikikamata waandishi wa habari kwa kutumia sababu hizo hizo za kutumia uhuru wao vibaya na kusambaza uongo, mnasema hakuna uhuru wa habari. Hahahaha, hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama zipo huru na mihimili yote pia sio kama huko Magufulistan ambapo hakimu huwa anaketi kitako akingoja maagizo kutoka kwa mzee. Iwapo wanamuonea na hajaeneza uongo mahakama zitatupilia mbali kesi dhidi yake. DCI wapo huru kufungua mashtaka dhidi ya mtu yeyote ambaye wanaona amevunja sheria. Bora tu kesi yao iwe ipo 'tight' ikifika mbele ya mahakama la sivyo hakimu lazima ataitupilia mbali. Ndio maana Kenya wananchi au wanahabari huwa hawalimbikiziwi kesi za ovyo ovyo kama sijui kuhujumu uchumi. Ndio matunda ya katiba mpya, hizo enzi ziliisha na Jogoo(KANU).
 
Mahakama zipo huru na mihimili yote pia sio kama huko Magufulistan ambapo hakimu huwa anaketi kitako akingoja maagizo kutoka kwa mzee. Iwapo wanamuonea na hajaeneza uongo mahakama zitatupilia mbali kesi dhidi yake. DCI wapo huru kufungua mashtaka dhidi ya mtu yeyote ambaye wanaona amevunja sheria. Bora tu kesi yao iwe ipo 'tight' ikifika mbele ya mahakama. Ndio maana Kenya wananchi au wanahabari huwa hawalimbikiziwi kesi za ovyo ovyo kama sijui kuhujumu uchumi. Ndio matunda ya katiba mpya, hizo enzi ziliisha na Jogoo(KANU).
Kenya mahakama zipo huru?
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

====
Every freedom and right granted by the law comes with a responsibility.

This is the immemorial rule of the law in all countries and territories that believe in respecting the rule of law.

In Kenya, like many other States the freedoms of expression, speech , media, access of information and interaction are covered in the supreme law.

In Kenya the freedom of expression/speech and media, and access to information are enshrined in Articles 33, 34, and 35.

These laws give citizens liberty to express their opinions, views, seek information and get informed through media reports.

Fundamentally, these freedoms make democracy pragmatic and their abuse, either by law enforcers and citizens could get the State in a state of chaos.

Since the outbreak of coronavirus, there have been many cases of misinformation and disinformation which are basically spreading false information without a bad intention and with a bad intention/maliciously respectively.

In Kenya for example, since the first case of COVID-19 was reported on Friday, March 13, there have been a lot of conflicting information spreading, living citizens in dilemma of choosing what is true and what needed to be ignored and trashed as false.

Immediately after Ministry of Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe announced the first case of a Kenyan having contracted the virus, many other conflicting information poking holes at the government's official position began to spread.

The CS described the woman as a 27-year-old who had traveled to the country from US through London, saying she lived alone but had came to contact with people she helped the State to trace.

One notable conflicting report from the public was a video from a woman who claimed she had traveled to the country from abroad.

In the video that went viral, the woman reiterated she was not the one identified by the government, begging the question who had in the first place said she was the one.

The government did not disclose explicit identification details of the woman owing to the right to confidentiality of a patients identity according to the Health Act.

The video made many Kenyans, who did not take time to verify the authenticity of the video to begin hitting out at the government for allegedly giving false details about COVID-19. The latter is not true.

"Since the UN said it will give some money to countries affected by coronavirus, Kenya has immediately recorded one case. Do you think what I am thinking" said one Kenyan who responded to the video posted on Twitter.

Another notable conflicting piece of information, was by @eozillexis6 @Hof elias who claimed on Twitter that the government had lied about the coronavirus case in Kenya.

"The government has lied to us. The said lady ..... came from Rome boarded on this plane. I am a staff at KQ. Guys they are lying," Hof eliastweeted.

This information brought the government in disrepute and caused panic among Kenyans.

This means the message flouted the freedom expression. The limits of the constitutional provision was stretched by the Kenyan, thereby breaking another equally important law of the land.

The Directorate of Criminal Investigations (DCI) swiftly traced the propagator of the malicious information and identified him as Elijah Muthui Kitony, 23.

The youth was arrested in Mwingi, Kitui county and will be charged with publishing misleading and alarming information, specifically on coronavirus.

"He will be charged for publishing false information that is calculated or results in panic contrary to section 23 of the Computer Misuse and Cyber Crimes Act of 2018. We urge members of the public to be responsible and to desist from authoring, publishing or sharing unconfirmed information that may cause panic and anxiety," DCI tweeted.

According to the Act, a person who knowingly publishes information that is false in print, broadcast, data or over a computer system, that is calculated or results in panic, chaos, or violence among citizens of the Republic, or which is likely to discredit the reputation of a person commits an offence.

The law indicates that if convicted, a suspect shall be liable to a fine not exceeding KSh 5 million or to imprisonment for a term not exceeding ten years, or to both.

Even as Muthui enjoyed his right to freedom of expression, he could have likely broken another law thus missing out on his responsibility.

Ends

Source: Coronavirus in Kenya: Abuse of Freedom of Speech Mwingi Man in trouble for lying about disease

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunafuata sheria inavyosema. Sijui nini inakuwasha? Sikuelewi
 
Kenya mahakama zipo huru?, unachekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kenya mahakama zipo huru?
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hapa ndio umemaliza kuonesha kwamba hazipo huru? Au ndio umeunga mkono hoja yangu? Kwa kuonesha kwamba mahakama za Kenya huwa zipo tayari kulinda uhuru wao kikatiba na kwamba CJ anajielewa na hatishiwi na yeyote yule hata iwe rais. Thank you. Sasa tueleze kuhusu CJ wenu kada wa chama na anavosimamia haki na uhuru wa mahakama kikatiba na pia mahakama za Tz zilivyo huru.
 
Hahahaha, IQ yako inalingana na ile ya kondoo, tunaposema mahakama iwe huru maana yake isitishwe au kuingiliwa na serikali au Bunge kwa namna yoyote ile, iwe kwa maneno au kwa vitendo. Hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wengine hawafuati sheria zao inavyosema, au unataka wafuate sheria za Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila hata kumpa bond. Sisi bond ni haki ya mshukiwa. Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila kumpa fair trial. Mama ya mwanahabari Erick Kabendera alifariki kwa sababu ya stress lakini Erick akanyimwa ruhusa ya kumzika mamake. Nyie wakatili sana. Duh
 
Humu pamejaa lapdogs wa UHURUTO kazi kujifaragua!

Mohamed Ally alikuwa anaishi kama digidigi kisa makala za Fikra Pevu huo uhuru wa waandishi ama kujieleza wameupata lini?
 
Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila hata kumpa bond. Sisi bond ni haki ya mshukiwa. Unalala ndani kama tu huna pesa ya bond. Mama ya mwanahabari Erick Kabendera alifariki lakini Erick hakupewa ruhusa ya kumzika. Nyie wakatili sana. Duh
Kwahiyo kwasbabu ninyi kwenu makosa yote sheria inaruhusu kupewa bond, kwahiyo unataka nchi zote zifuate ninyi?. Makosa aliyoshitakiwa nayo hayana bond kwa mujibu wa sheria zetu, Kwahiyo tumefuata sheria zetu sio zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu pamejaa lapdogs wa UHURUTO kazi kujifaragua!

Mohamed Ally alikuwa anaishi kama digidigi kisa makala za Fikra Pevu huo uhuru wa waandishi ama kujieleza wameupata lini?
Mohammed Ali sasa hivi ni mbunge. Kama serikali ilikuwa inataka kumuua basi angekuwa maiti saa hii. Lakini jamaa sasa hivi anakula bata. Hata rafiki yake waliyefanya naye kazi John Allan Namu pia yuko hai na hakuna anayemtishia maisha
 
Back
Top Bottom