joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
- Thread starter
- #21
Vipi kuhusu Miguna Miguna, pia mlifuata sheria zenu kumfurisha nchini?Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila hata kumpa bond. Sisi bond ni haki ya mshukiwa. Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila kumpa fair trial. Mama ya mwanahabari Erick Kabendera alifariki kwa sababu ya stress lakini Erick akanyimwa ruhusa ya kumzika mamake. Nyie wakatili sana. Duh
Sent using Jamii Forums mobile app