Where is Filipo Mangula?

Where is Filipo Mangula?

Inawezekana wewe ndiye mtoto mdogo, nimeuliza swali inatakiwa unijibu, huwezi acha nitajibiwa na wengine badala ya kuja na mipasho ukiwa umenyenyua vidole juu.
Kuna swali mtu mwenye akili timamu akisoma anajua kabisa hili ni swali na inatakiwa ijibiwe kama swali lakini kuna kitu mtu akiuliza unaona kabisa hii ni kejeli hivyo inatakiwa ijibiwe kikejeli kejeli na kipumbavu hivyo hivyo.
 
Unasema? Jesus Jesus... Weee mwana weeee angalia mkono huo usije kupotea[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji411][emoji24][emoji24][emoji24]
Nahitaji kujua historia yake, ni nani haswa zaidi ya kuwa naibu mwenyekiti wa CCM bara
 
Kuna swali mtu mwenye akili timamu akisoma anajua kabisa hili ni swali na inatakiwa ijibiwe kama swali lakini kuna kitu mtu akiuliza unaona kabisa hii ni kejeli hivyo inatakiwa ijibiwe kikejeli kejeli na kipumbavu hivyo hivyo.
Basi usidhani kama unavyodhani. Nahitaji kumjua huyu mzee. Wakati wa magufuli alikuwa naibu mwenyekiti wa CCM bara. Zaidi ya kumjua hivyo tu na anavyotafutwa inawezekana ni zaidi ya ninavyomjua.
 
Inawezekana wewe ndiye mtoto mdogo, nimeuliza swali inatakiwa unijibu, huwezi acha nitajibiwa na wengine badala ya kuja na mipasho ukiwa umenyenyua vidole juu.
Nani akujibu wewe pimbi?
 
Kama upo dar

Panda gari luwinzo za njombe

ukifika jioni sa Moja au 12 jioni

Utaamua lodge au ukodi tax hadi imalinyi (njia utaingilia hapa ramadhani njaapanda kuelekea Makete wewe mtanyoosha kulia ,kushoto kuelekea Makete ,ukifika kwenye Kijiji hicho ,utamkuta na kunashule yake inaitwa jina hilohilo ,watakupeleka

Mzee washamba yule sio kama ninyi muda wote mko mitandaoni
 
Kinenulo
 
Back
Top Bottom