W wajojo Senior Member Joined Apr 29, 2013 Posts 155 Reaction score 83 May 5, 2013 #1 Huyu jamaa yuoo wapi siku izi alinikoshaga sana na ile nyimbo yake ya pain in me..ni kitambo sana sijamsikia sijui yuko wapi sasa iv na anafanya nini..
Huyu jamaa yuoo wapi siku izi alinikoshaga sana na ile nyimbo yake ya pain in me..ni kitambo sana sijamsikia sijui yuko wapi sasa iv na anafanya nini..
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 May 5, 2013 #2 Tuko nae huku California tunapunga upepo
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,457 Reaction score 699 May 9, 2013 #3 Atakuwa kafa kama hajaonekana siku nyingi (RIP)