Source? Laws the Physics ni Universal FBI wala CIA hawawezi kuzivunja, hakuna example hata moja kwenye research community inayoonyesha kuwa kurecover erased data inawezekana, tena haiwezekani baada ya ku-overwrite mara moja tu, Eraser inafuta hata mara 35. Kwa kifupi hakuna sababu ya kuamini kama wanaweza, until ipatikane evidence otherwise.
Ndiyo, najua unahitaji kutafuniwa zaidi,.. kuchanganya na za kwako naona ni issue,... watanielewa wengine ambao hata hawakuliuliza swali!Sijakuelewa hata kidogo mkuu, thanks Juakali maana umegusa vitu vya muhimu, ulichosema ni sahihi kuhusu data ambazo zimekuwa empted from recycle bin, data hizi zinatatunzwa kwenye virtual storage ya system, lakini unapodelete tena na tena ile virtual storage nayo inaja, kwa hiyo data ambazo zilikuwa deleted mwanzo zaidi zinapotea ili kutunza hizi mpya, kwa mtindo huo unapofanya system recovery utapata zile ambazo zimekuwa deleted siku za karibuni zaidi
Sasa kama data hizo zinabakia katika system, mbona kuna watu wana delete muvi in GBs...hizo HDD memory zao hazijai kupitia 'deleted data in the emptied recycled bin'????Unapoempty recycle bin, system inadelete handle zote zinazohusiana na hizo file zilizokuwa deleted na kuifanya ile space kuwa available kwa file zingine kuandikwa juu yake. Lakini huo siyo mwisho wa hizo data, ukweli ni kwamba data ndani ya hard drives zinabaki humo mpaka hiyo hard drive iharibiwe. mfano kuna department katika serikali ya marekani unaponunua computer kutoka kwao wanakupatia bila hard drive na hard drive zenyewe zinakuwa shreded.
Sasa kama data hizo zinabakia katika system, mbona kuna watu wana delete muvi in GBs...hizo HDD memory zao hazijai kupitia 'deleted data in the emptied recycled bin'????
Sawa! I got too much to do rather that wasting my time on discussing 'recycle bin', sorry buddy!@CBZ. Fuatilia hii topic toka mwanzo utapata majibu kibao.
Please members may u describe to me, where those deleted data go after being permanently deleted from the recycle bin?. It has been difficult to me since those data can be RECOVERED again.
Mtoma86,Don't bother yourself trying to find what has been deleted from trash or recycle bin! Once items in recycle bin deleted are permanently deleted and can never be retrieved!!!!!!!
Please members may u describe to me, where those deleted data go after being permanently deleted from the recycle bin?. It has been difficult to me since those data can be RECOVERED again.
usimdanganye mwenzio, never retrieved?