Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
sipo kimauzo, sijui wanunuaji wangesema ngawira ngapi, nipo kumshukuru MUUMBA JUU kwa uumbaji mzuri wa mgongo.
Nami niseme asante Mungu! Na asante kwako kunikumbusha matendaji kazi ya Mola.
sipo kimauzo, sijui wanunuaji wangesema ngawira ngapi, nipo kumshukuru MUUMBA JUU kwa uumbaji mzuri wa mgongo.
from monday to monday baby I'm thinking of you
nilisafiri kidogo darling The secretary,nilikuwa New York mara moja,i am back. Vipi sasa zawadi zako nikuletee wapi?