Mkuu hiyo background walikopi Oval Office wakati huo Jay Z alikuwa president wa Def Jam akawa anajiita President Carter, unakumbuka cover ya XXL Mag iliyokuwa na Jay Z, Kanye West, Foxy Brown na Lebron James?
It's funny kwa sababu hicho ndiyo kilikuwa nataka kuangalia katika ile post kwamba concert ilikuwa na political theme/american president, lakini sikuishia hapo, nikaenda kuangalia track ya 'dead presidents'. Sijui unafikiri nini kuhusu ile track, wengi wanaichukulia Jay-Z anaongelea tu drug stories.....nadhani tunaelekea kukubaliana.