Mkuu Boflo ukienda Club kujirusha kwa raha zako na mupenzi stress zote tupa kule!!! ukirudi home roho kwatu!!! unapenda ice cream weye eeh!? Vanilla au chocolate ice cream!?
Its hard to control urself if u r stressed. But one thing you should try to remember is. How lucky u r. When others dont have even a food for a day. That will cheer you up!
Thats all forks.
Mim nikiwa kwenye hal hiyo option ya kwanza ni mazoezi...ya pili kucheki katuni..ya tatu kumpigia mamsapu...ikifwatiwa na kulala!!!! Baada ya hapo no stress!!!