Nina swali pia, ni lini Tz itakuwa serious kwenye michezo?
Maanake raga hampo, voliboli hampo, cricket hampo, hockey hata hamjui ni nini, riadha sasa ndio usiseme, soka mpo mpo tu. Hata na kabbadi pia imewalemea? Stadium ni za kufanyia mikutano ya sisiemu au?
Mnijibu fasta bana.
😎