Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Anatry kuprove anajua English... Watu kama Hao waangalie tu na upite.Mbona watanzania mpo hivi lakini? Kuna huyu jamaa anayejiita mgonjwa mahututi, kazi yake ni kuangalia makosa katika maandishi ya wakenya humu. There is another Tanzanian who conf
Maanake raga hampo, voliboli hampo, cricket hampo, hockey hata hamjui ni nini, riadha sasa ndio usiseme, soka mpo mpo tu. Hata na kabbadi pia imewalemea? Stadium ni za kufanyia mikutano ya sisiemu au? 
