Peter Gitimu
Senior Member
- May 25, 2015
- 109
- 122
I haven't mentioned tz anywhere in my statement. Ama umeiona apo?Kwani umesikia TZ haifanyi hivyo vyote??TZ ime simama au sio
![]()
I haven't mentioned tz anywhere in my statement. Ama umeiona apo?Kwani umesikia TZ haifanyi hivyo vyote??TZ ime simama au sio
![]()
Kwani mada kuu inasemaje??I haven't mentioned tz anywhere in my statement. Ama umeiona apo?
Alafu hii miradi ni ya serikali gatuzi na sio serikali kuu. Naona Sultani Ali Hassan Joho anajitahidi kweli kweli. Hata Gavana Alfred Mutua pia kule Gatuzi la Machokos na Wycliffe Oparanya kule Kakamega wanajitahidi vilivyo. Gatuzi zote 47 zikifanikiwa kuwekeza kwenye miundo mbinu ya aina hii, ya kukuza talanta kwenye michezo kule mashinani itakuwa jambo la maana sana.I better be here....mombasa county mini stadiums
View attachment 942791
View attachment 942794
View attachment 942796
View attachment 942797
View attachment 942798