a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,324
- 3,801
- Thread starter
- #41
kama hujaelewa yote niliyo
kama hujaelewa yote niliyoya andika hapo juu ,basi shika neno hili moja tu OA MWANAMKE ANAYEKUPENDASijaelewa mkuu, kwa jinsi wewe uonavyo ni kwamba wanawake wote ni malaya ila hutulia tu pale wanapopata wanao wapenda?
Yaani hakuna wanawake wanaojizuia kufanya umalaya kwa kuwa wanajithamini wenyewe na sio kwasababu wanawaheshimu na kuwahurumia wanaume wao?