Kuweni makini na hii picha.utagungua standing position ya kidoti eyes directions za jay z na mwanawe vinakimbiana 100%.meaning that baba na mwana walikuwa wanamtazama mtu mwingine kabisa ambaye alikuwa nyuma ya kidoti..Then wale watu wa nyuma kabisa km wanamshangaa kidoti may be kwa kujipeleka pale hali ya kuwa hashughulikiwi kabisa na jay z..NARUDIA ITAZAME TENA PICHA