Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
chelthiii tumethinda, thatha Kipipi, mbona umethindwa kutupa hongera yetu thithi chelthiii? acha idho bana..
Kanasoma, ila nimependa tu kukujibu kikwetu.Angel, hako ka mtandao unakotumia hakasomi kiarabu na kichina eeh? Ila mi mzima
CommorianHata sijainyaka mamy..........niweke mwangani mie mwenzio
Salam zangu za dhati ya moyo wangu asubuhi hii zinakuja kwenu nyote, mie mzima hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu.............
TANMO............Good morning
Erickb52.........guten Morgen
SL.............bonjour
AshaDii.........???? ?????
Kipipi......... Ng'wangaluka
Cantalisia..........buenos días
Na wengineo woooote ..........??
Ng'wangaluka M.jr...... wamishaga kinehe??
Mamaa .... Duh!