When husband is hotter than wife

Yaan mi bado nacheka aiseeee wanajiwezaaa
 

Attachments

  • wp_ss_20150602_0003.png
    106.3 KB · Views: 1,047
  • wp_ss_20150602_0002.png
    138.2 KB · Views: 993
Amekusikitisha wakati mwenzako anataka kutafunwa km kitumbua!
Ndio kinachonisikitisha, Japo ndoa yao ilikuwa kwenye TV tu mpaka siku alipotangaza rasmi kutalikiana, lakini yeye na Kris walikuwa hawalali chumba kimoja.
 
Ndio kinachonisikitisha, Japo ndoa yao ilikuwa kwenye TV tu mpaka siku alipotangaza rasmi kutalikiana, lakini yeye na Kris walikuwa hawalali chumba kimoja.

Jogoo limegoma Kuwika Looong time.
Ha ha ha ha.
 
Huyu Mzee yaonekana huko nyuma alikuwa siyo riziki(mchele),maana kwa aliyotafanya ni kiashiria tosha..
 
Wazungu hamnazo kabisa na miafrika tutaiga huo ujinga.
 
Mbona sielewi au mada hii imeanzia instagram maana naona wote hapo wanawake

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Loh, kweli hii dunia ya mwisho. Mizungu nayo ina sifa za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…