Una kuta mtu anaumwa watu wanasali sana na kukemea pepo la mauti kutoka kwa shetani, linalotaka kutoa maisha ya ndugu yao .
Ikitokea kapona unatasikia Mungu anaweza shetani ameshindwa.
Na ikitokea yule ndugu kafa ,utasikia Mungu kampenda zaidi na kazi ya Mungu haina makosa , kaitwa nyumbani, nyumbani kwetu sio apa.
Imani ni mchezo wa kujidanganya mwnyewe pale unaposhindwa kuchanganua hali fulani inayokinzana na imani yako.
.