Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,072
Basi tuache huu mradi mzima. Why build SGR ya 120km/hr wakati reli iliyopo inaweza kusustain hizo speeds?Nilichomaanisha hapo ni kwamba ili tuwe na umeme wa uhakika hatutaki treni ikiondoka sisi jiko la umeme linazima, hivi unajua kwamba viwanda kama M.M Steel huwa vikiwashwa vinaathiri shughuli nyingine kwa kiasi gani?
Nafikiri mnafanya tu ushabiki lkn haya mambo hamyaelewi, haya ni mambo technical na siyo ya kuangalia kwenye TV na kutaka kuja kuyafanya hapa TZ, TZ hatuna uwezo wa kuelectrify train kwa sasa na sababu ni kwamba huo umeme haupo, nchi yenye watu milioni 40 ina MW 1500 tu halafu unaongelea kulectrify train?
Hata Kenya wenyewe hawatelectrify hiyo SGR yao, kwanza SGR ya Kenya haina spidi kubwa mwisho 120 km/saa, na siyo kama tunayotaka kujenga hapa kwetu!
Kwa kukusaidia tu AK wana watu milioni 40 kama sisi wana MW 40 000 na bado haitoshi wana matatizo ya umeme sasas hivi wanataka kwenda Nuclear!
Besides, ndio maana nikasuggest kwamba kijengwe kiwanda maalum cha kusupply umeme to the trains.
With that $7.2 billion inatosha kuset aside $600 million kwa ajili hiyo then SGR ikajengwa in phases.